KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
uko neutral ama??Mimi sio mfurukutwa wa vyama vya siasa, hivyo hiyo sehemu haina mashiko kwangu...
Nina sababu ya kuvutiwa na harakati za mwanamama/mwanamapinduzi Josina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko neutral ama??Mimi sio mfurukutwa wa vyama vya siasa, hivyo hiyo sehemu haina mashiko kwangu...
Nina sababu ya kuvutiwa na harakati za mwanamama/mwanamapinduzi Josina
uko neutral ama??
Haya.Sina kadi ya chama chochote cha siasa, hivyo ni sahihi ukiandika hivyo
RENAMO= CHADEMANafikiri ujumbe wako upa hapa Bwana Zitto.......
.......MDM ni chama kilichojimega kutoka chama kikuu cha upinzani nchini humo cha RENAMO. Chama cha RENAMO kina mahusiano ya kisiasa na kimwelekeo na chama cha CHADEMA hapa nchini Tanzania. RENAMO ni chama chenye rekodi mbaya sana ya kutesa na kuua wananchi wakati wa vita vya wenywe kwa wenyewe nchini Msumbiji. Mwezi Julai mwaka 1987 katika kijiji cha Homoine jimbo la Gaza, RENAMO ilichinja wagonjwa wote 424 waliokuwa wamelazwa hospitalini. Vile vile RENAMO walikuwa wanachukua watoto wachanga na kuamuru wazazi wao kuwaweka kwenye kinu na kuwatwanga mpaka wanakufa......
Nafikiri ujumbe wako upa hapa Bwana Zitto.......

Thanks for this.Josina Machel katika S is for SAMORA
Ni nani ambaye asingependa kuwa na Mke kama Josina? Basi angalau binti yako kama unamsoma Josina baada ya kuwa umeoa.
Kwamba CHADEMA kina mwelekeo wa kutesa na kuuwa watu kama RENAMO.Sijajua umelenga nini katika andiko lako hili.
Iko video jamaa alikuwa mzamiaj bondeni akadakwa na hao jamaa akiwa njian , kaeleza mengi snSikujua kama renamo imeua watu wengi kigaidi vile!
Yaani hadithi yako yooote ulilenga kuja kulala hapo!?Chama cha RENAMO kina mahusiano ya kisiasa na kimwelekeo na chama cha CHADEMA hapa nchini Tanzania. RENAMO ni chama chenye rekodi mbaya sana ya kutesa na kuua wananchi wakati wa vita vya wenywe kwa wenyewe nchini Msumbiji. Mwezi Julai mwaka 1987 katika kijiji cha Homoine jimbo la Gaza, RENAMO ilichinja wagonjwa wote 424 waliokuwa wamelazwa hospitalini. Vile vile RENAMO walikuwa wanachukua watoto wachanga na kuamuru wazazi wao kuwaweka kwenye kinu na kuwatwanga mpaka wanakufa.