Josina Machel: Zitto Kabwe November 2014

Josina Machel: Zitto Kabwe November 2014

Sasa mbona umeingiza CHADEMA kwenye mazingira ya kukichafua ,Unapo sema Chama Cha upinzani Msumbiji kina urafiki na CHADEMA Kisha unaelezea chama hicho kilivyona rekodi mbaya ya kuuawa watu ,maana yako ni nini hasa??

Zitto umesha anza kuonyesha udhaifu mkubwa hata kwatu tulio kuwa tuna kuheshimu.
 
Heri ungekuwa tuu jasiri wa msimamo katika matendo yako na imani yako..kama ulivyojasiri katika makala na maandiko yako...zitto ungekuwa ni zaidi ya kina josina wa enzi zile..we ungekuwa ni josina wetu wa enzi hizi na tanzania ingekuwa imebarikiwa zaidi..nawalaumu watu waluocapitalise kwenye udhaifu wako..
 
Nafikiri ujumbe wako upa hapa Bwana Zitto.......

.......MDM ni chama kilichojimega kutoka chama kikuu cha upinzani nchini humo cha RENAMO. Chama cha RENAMO kina mahusiano ya kisiasa na kimwelekeo na chama cha CHADEMA hapa nchini Tanzania. RENAMO ni chama chenye rekodi mbaya sana ya kutesa na kuua wananchi wakati wa vita vya wenywe kwa wenyewe nchini Msumbiji. Mwezi Julai mwaka 1987 katika kijiji cha Homoine jimbo la Gaza, RENAMO ilichinja wagonjwa wote 424 waliokuwa wamelazwa hospitalini. Vile vile RENAMO walikuwa wanachukua watoto wachanga na kuamuru wazazi wao kuwaweka kwenye kinu na kuwatwanga mpaka wanakufa......
RENAMO= CHADEMA
MDM= ACT
 
Na mwandishi amebobea ipasavyo kwenye hiyo tasnia. Mwanzoni aliwachota watu wakamuona kama mtetezi, kadri siku zinavyoenda, rangi yake halisi inazidi kuwa wazi.
 
Kwa akili zangu za PhD ya mchongo toka udom nimegundua haya

MDM ilizaliwa katika ubavu wa RENAMO

ACT ilizaliwa katika ubavu wa CHADEMA

RENAMO n makatili ndio maana MDM wakajiengua

CHADEMA nimakatili akina zito wakajiengua kuanzisha ACT

HITIMISHO.. Bwana zito anajaribu kuhadaa umma kujifanya kufikisha ujumbe wa josina huku point kuu n KUKINANGA CHADEMA
UKWELI n zitto n mwanasiasa wa kuchungwa hana ndimi moja n kigeugeu Sana haaminiki n mamluki wa kutegemewa na serikali kugombanisha wengine

Nawaonea huruma vijana Kama ABDUL NONDO wenye ndoto zao kakn hawapo sehemu sahihi kimakuz ya siasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sijajua umelenga nini katika andiko lako hili.
Kwamba CHADEMA kina mwelekeo wa kutesa na kuuwa watu kama RENAMO.

“Chama cha RENAMO kina mahusiano ya kisiasa na kimwelekeo na chama cha CHADEMA hapa nchini Tanzania. RENAMO ni chama chenye rekodi mbaya sana ya kutesa na kuua wananchi wakati wa vita vya wenywe kwa wenyewe nchini Msumbiji.”
 
Mnapenda kupnda kuona chadema ikiwa inasifiwa tu
 
Chama cha RENAMO kina mahusiano ya kisiasa na kimwelekeo na chama cha CHADEMA hapa nchini Tanzania. RENAMO ni chama chenye rekodi mbaya sana ya kutesa na kuua wananchi wakati wa vita vya wenywe kwa wenyewe nchini Msumbiji. Mwezi Julai mwaka 1987 katika kijiji cha Homoine jimbo la Gaza, RENAMO ilichinja wagonjwa wote 424 waliokuwa wamelazwa hospitalini. Vile vile RENAMO walikuwa wanachukua watoto wachanga na kuamuru wazazi wao kuwaweka kwenye kinu na kuwatwanga mpaka wanakufa.
Yaani hadithi yako yooote ulilenga kuja kulala hapo!?
Bado una akili za hovyo sana
 
Back
Top Bottom