mshaanzamboni nasikiaga Haka kajamaa ni nanihii(pilau) ya wakubwa!
Mmmh !! hashakum Sasa kesho akiambiwa atembee mtupu (ushii) atakuwa kazini..........??!! "kumradhi"Magauni ndio yanayomfanya aishi vizuri mjini, muacha avae ilimradi yupo kazini.
Gauni kwa mwanaume ni nomaa.
Mmmh !! hashakum Sasa kesho akiambiwa atembee mtupu (ushii) atakuwa kazini..........??!! "kumradhi"
mmmh !! Wandugu Njaa na Tumbo gani lipi hilo?!!? kama kula atakula mloo wa kawaida kama tulivyo 49m humu!!Kumradhi............ my king.
Kila mtu afanyacho hutegemea nanjaa na tamaa yake na utashi wake.
mboni nasikiaga Haka kajamaa ni nanihii(pilau) ya wakubwa!
mmmh !! Wandugu Njaa na Tumbo gani lipi hilo?!!? kama kula atakula mloo wa kawaida kama tulivyo 49m humu!!
Mtu huwaga na LIMITs zake!! binaadamu hujiwekea misimamo kadhaa !! (red lines)
Ellyson khaswa kwa mwanaume ndo kioo cha jamii na kichwa cha kuongoza kizazi!!
Apologise lady heshima na hayaat kwa mwanamke ndo Thamani inapanad na kutukuka ktk jamii...otherwise !!
Pilau yule mgonjwa