Joti aangalie maeneo ya kuvaa magauni

Joti aangalie maeneo ya kuvaa magauni

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Joti ni mwigizaji mzuri lakini naona uvaaji wa magauni na mawigi aangalie mandhali,kama hii ya tigo na gauni haipendezi, niliipenda ile akiwa kwenye pulpit anatangaza wakulipee! Lakini hii ya kuvaa vaa magauni everytime si wanaume wengine haitufuraishi labda kwenye maigizo.
 
mboni nasikiaga Haka kajamaa ni nanihii(pilau) ya wakubwa!
 
Huwezi penda kitu hupendi.Kama unapenda ubwabwa si utakula ubwabwa ? Kama yey pilau si lazima anukie pilau au?
 
Yote hayo ni kwa sababu ya tumbo. Tumbo limeleta mabalaa sana. Njaa mbaya sana
 
Kumradhi............ my king.

Kila mtu afanyacho hutegemea nanjaa na tamaa yake na utashi wake.
mmmh !! Wandugu Njaa na Tumbo gani lipi hilo?!!? kama kula atakula mloo wa kawaida kama tulivyo 49m humu!!

Mtu huwaga na LIMITs zake!! binaadamu hujiwekea misimamo kadhaa !! (red lines)
Ellyson khaswa kwa mwanaume ndo kioo cha jamii na kichwa cha kuongoza kizazi!!
Apologise lady heshima na hayaat kwa mwanamke ndo Thamani inapanad na kutukuka ktk jamii...otherwise !!
 
Last edited by a moderator:

Nimekupata vema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom