Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetokea kutokumkubali Joti....nimeachana pia na mtandao wa TIGO hata Origino komedy siangalii tena.
Wakati mwenzako anaingiza mamilioni
Mi huchefukwa haswa!na nilipata shida sana kumuelezea kwa my 4yrs old princess aliponiuliza mbona yule mama na yule baba wanafanana?siku hizi aliishaona ndio sifa kuvaa magauno mpaka inaboa....
mi huwa nachukizwa sana na huo uvaaji wake
Mi huchefukwa haswa!na nilipata shida sana kumuelezea kwa my 4yrs old princess aliponiuliza mbona yule mama na yule baba wanafanana?
anatangaza ushoga
Joti ni mwigizaji mzuri lakini naona uvaaji wa magauni na mawigi aangalie mandhali,kama hii ya tigo na gauni haipendezi, niliipenda ile akiwa kwenye pulpit anatangaza wakulipee! Lakini hii ya kuvaa vaa magauni everytime si wanaume wengine haitufuraishi labda kwenye maigizo.