Joti aangalie maeneo ya kuvaa magauni


Sasa si anaigiza au wewe unafikiri ni kweli kawa mwanamke{
 
Sasa si anaigiza au wewe unafikiri ni kweli kawa mwanamke{

Kwenye the comedy ni maigizo lakini tigo ni tangazo linatakiwa kuwa na maadili yake bwana, kwa sababu linapaswa kuvuka mipaka ya taifa ,mila na desturi
 
Humo kote ulipopataja kuna ma-director ndo wanamuelekeza cha kufanya na huwenda Tigo wamemchukua kwa kuwa walimpendea kwenye vipande hivo
Kwenye the comedy ni maigizo lakini tigo ni tangazo linatakiwa kuwa na maadili yake bwana, kwa sababu linapaswa kuvuka mipaka ya taifa ,mila na desturi
 
Mimi sina tatizo na gauni alilovaa (dera), ila kwa ujumla tangazo hili si zuri na sikulipenda mara ya kwanza tu nilivyoliona, sauti yake mbaya, anavyocheka kama amelazimishwa, yaani kwa ujumla halikutengenezwa kwa kiwango. Tigo waache ukiritimba wawape wanawake matangazo yanayohusisha wanawake.
 

siku hizi aliishaona ndio sifa kuvaa magauno mpaka inaboa....
mi huwa nachukizwa sana na huo uvaaji wake
 
Bora umeliona hilo mleta mada, mimi pia nakerwa akiact kimwanamke, bora akiact kama dume anapendeza, sina hakika kama hasumbuliwi na wale..... maana anaonekana kama anapenda sana
 
Sijaona tatizo...madem zenu mbona wanashinda na nguo za kiume hamuwadis
 
Hadija Kopa pale angefaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…