Joti aangalie maeneo ya kuvaa magauni

kuvaa uhusika wa mwanamke ni hela nyingine tofauti na mkataba
 
familia yake inamtegemea kupitia kazi hyo hicho no kipaji na hajaanzia kwenye hilo tangazo
 
siku hizi aliishaona ndio sifa kuvaa magauno mpaka inaboa....
mi huwa nachukizwa sana na huo uvaaji wake
Mi huchefukwa haswa!na nilipata shida sana kumuelezea kwa my 4yrs old princess aliponiuliza mbona yule mama na yule baba wanafanana?
 
Mi huchefukwa haswa!na nilipata shida sana kumuelezea kwa my 4yrs old princess aliponiuliza mbona yule mama na yule baba wanafanana?

haha pole sana mkuu kwa swali la little princes...
huyu jamaa asipoangalia atajikuta hata tabia za kike zinamtawala... ushoga unamnyemelea kabisaaa... hii sio kawaida hata kama ni kuigiza amepitiliza.
 
anatangaza ushoga

Mkuu money stunna respect kwa kutujuza wanajamii kuhusu joti..kweli anatangaza ushoga kwa level ya juu kabisa na anaharibu watoto wetu sana pasipo sisi wazazi kuelewa.kwamba anawaambia wananchi ni suala la kawaida sana kwa mwanamume kuvaa nguo za mwanamke au kujifanya mwanamke..sisi tunafurahi na kucheka pamoja na watoto wetu pasipo kujua madhara ya yanayotokea kwenye ubongo wetu..kwa mwenye uelewa wa concious na subconcious mind ataelewa ninichokiongea.be blessed!
 
Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuvaa nguo za kike jiulize sana muulize hata Matola.
 
Last edited by a moderator:

mi naona wanakuwa wanaubaliki ushoga.kwann wasiwaachie watoto wa kike hayo magaun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…