1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
hapana, hawezi jipigia promoJoti naona anajipigia promo aajiriwe wcb tv
Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Mpuuzi mmoja wewe!Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Mwakiwembe anawivu wa kike wkt hicho kishonza ni kichoko kimalaya fulanihivMwakyembe Na Juliana Shonza wana wivu wa umasikini
We jamaa yani km umetapika vileMpuuzi mmoja wewe!
Unajifananishaje na Diamond hapo ulipo haters.!
umeajiri watu wangapi?
unalipa kodi kiasi gani kwa Taifa hili?
Nchi hii ina kitu gani cha kujivunia kwa uwepo wako?
umelitendea nini Taifa hili ndani na Nje ya mipaka yake?
Watu aina yenu ndio wale ambao mama zenu wala hawakupata hata uchungu kujifungua...!!..
ulizaliwa
Duh! Mkuu, mbona unachanganya madesa? Hoja hapa ni baadhi ya media na/au wadau kutaka wanyenyekewe na wasanii!!
But anyway, acha nami niende kasi ya mwendokasi wa HAPA KAZI TU!
Sikiliza wimbo ufuatao kwa makini... zingatia video na mashairi kisha nipe darsa wimbo umefungiwa kwa sababu zipi:
Ki ukweli mnaboa.!We jamaa yani km umetapika vile
Ha ha ha haLabda alitaka kuandika Mererani, sio Marekani.
Yani kwa huu upupu uliouandika inaonekana kwenye hiyo obulongata yako kumejaa uharo kweli kweli. Acha kuongea kishabiki ama kiteam.Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
muulize uko kwenye maadili USA una chezwa huku una fungiwa...Mkuu embu niambie wimbo wa hallelujah umefungiwa kwann
Mkuu, maadili kila kukicha yanabadilika. Zamani ilikuwa ni jambo la ajabu sana kuona msanii wa filamu au bongo fleva akimla denda msichana ndani ya kazi yake ya sanaa, ila mambo yalivyoanza kuonyeshwa hakuna aliyepaza sauti kulalamika. Jaribu kuipitia nyimbo ya Dully ile Bijou na ya Daz Nundaz Jahazi la Daz. Humo ndani watu waliliwa mate live na tuliendelea kutazama tu.
Wimbo wa Matonya ule Vaileth, dada wa mule ndani alikuwa uchi kabisa japokuwa alionyeshwa akiwa upande wa pili wa kioo ila alionekana kawaida pia.
Kizazi kilianzia kuharibika huko, huko tulipobaki tunajikomaza tu.
Utamaduni wa muafrika ulishajifia yangu zama na zama.
kiba100 yoooooooh
Your not serious my friend !mybe not america i experience
Rekebisha hapo juu,watu wasije wakelewa vibaya kuwa ulimaanisha mereraniSasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Mpuuzi mmoja wewe!
Unajifananishaje na Diamond hapo ulipo haters.!
umeajiri watu wangapi?
unalipa kodi kiasi gani kwa Taifa hili?
Nchi hii ina kitu gani cha kujivunia kwa uwepo wako?
umelitendea nini Taifa hili ndani na Nje ya mipaka yake?
Watu aina yenu ndio wale ambao mama zenu wala hawakupata hata uchungu kujifungua...!!..
ulizaliwa
Sasa kwa akili yako ni sawa kuangalia video ya yule binti aliye uchi? Suppose uko na wazazi wako, unaweza kuangalia hiyo video? Vitu vingine si vya kuiga jamani, tulinde tamaduni zetu.
Yani kwa huu upupu uliouandika inaonekana kwenye hiyo obulongata yako kumejaa uharo kweli kweli. Acha kuongea kishabiki ama kiteam.
Hivi wewe ukiwa na wazazi wako hua unaangalia miziki ya kisasa mkuu?Sasa kwa akili yako ni sawa kuangalia video ya yule binti aliye uchi? Suppose uko na wazazi wako, unaweza kuangalia hiyo video? Vitu vingine si vya kuiga jamani, tulinde tamaduni zetu.
Ninatumai unaweza kujicheka baada ya kurudia kusoma ulichoandika.!Narudia kwa kukuuliza wewe kilema wa fikra, pengine huenda nikawa nakosea kwa sababu si kosa lako kutokuwa na akili ya kuona mbali au hata kuwaza. Swali, ni lini Diamond aliwakalisha taifa hili na kulitendea hili taifa anything zaidi ya kulipa kodi kama nilipavyo mimi? Mimi ni mfanya biashara na nina karibu ya watu 200 katika check book yangu ninaowalipa na serikali inatambua hiyo, kuna miezi mingine ninakuwa na zaidi ya hao watu 200, hivyo ninatunza ama kusaidia familia shinda hata huyo Diamond. Usipende kuropoka tu kwa hasira, Diamond hakusaidii chochote katika maisha yako ila unatokwa na mapovu tu, hivi huoni haibu?