Joti, "Awawezi kutushusha labda watoke na roho zetu mimi na Diamond "

Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.

Shide mwana malevya
 
Mpuuzi mmoja wewe!
Unajifananishaje na Diamond hapo ulipo haters.!
umeajiri watu wangapi?
unalipa kodi kiasi gani kwa Taifa hili?
Nchi hii ina kitu gani cha kujivunia kwa uwepo wako?
umelitendea nini Taifa hili ndani na Nje ya mipaka yake?

Watu aina yenu ndio wale ambao mama zenu wala hawakupata hata uchungu kujifungua...!!..
ulizaliwa
 
We jamaa yani km umetapika vile
 
Duh! Mkuu, mbona unachanganya madesa? Hoja hapa ni baadhi ya media na/au wadau kutaka wanyenyekewe na wasanii!!

But anyway, acha nami niende kasi ya mwendokasi wa HAPA KAZI TU!

Sikiliza wimbo ufuatao kwa makini... zingatia video na mashairi kisha nipe darsa wimbo umefungiwa kwa sababu zipi:

Hata mimi sielewi kwa kweli.
 
We jamaa yani km umetapika vile
Ki ukweli mnaboa.!
Hata kama coin had two side lakini nyie mmezidi hamna wema wala jema.!
yawapasa kuwa na shukrani hata chembe basi, hata mna chuki za kipumbavu.! Wale waliotendea haki Taifa hili inabidi muwape nafasi..
Alikuwepo hapa Steven Kanumba mliponda kila siku kuwa sio kitu sio lolote baada ya kifo chake mnajifanya pengo lake halizibiki..
yupo Diamond leo akiondoka kesho mtasema pengo lake halizibiki..

Wanafiki wakubwa nyie.
 
Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Yani kwa huu upupu uliouandika inaonekana kwenye hiyo obulongata yako kumejaa uharo kweli kweli. Acha kuongea kishabiki ama kiteam.
 
Mkuu, maadili kila kukicha yanabadilika. Zamani ilikuwa ni jambo la ajabu sana kuona msanii wa filamu au bongo fleva akimla denda msichana ndani ya kazi yake ya sanaa, ila mambo yalivyoanza kuonyeshwa hakuna aliyepaza sauti kulalamika. Jaribu kuipitia nyimbo ya Dully ile Bijou na ya Daz Nundaz Jahazi la Daz. Humo ndani watu waliliwa mate live na tuliendelea kutazama tu.
Wimbo wa Matonya ule Vaileth, dada wa mule ndani alikuwa uchi kabisa japokuwa alionyeshwa akiwa upande wa pili wa kioo ila alionekana kawaida pia.
Kizazi kilianzia kuharibika huko, huko tulipobaki tunajikomaza tu.
Utamaduni wa muafrika ulishajifia yangu zama na zama.

Sasa kwa akili yako ni sawa kuangalia video ya yule binti aliye uchi? Suppose uko na wazazi wako, unaweza kuangalia hiyo video? Vitu vingine si vya kuiga jamani, tulinde tamaduni zetu.
 
Your not serious my friend !mybe not america i experience

I am telling you with facts and I know you are lying, there's no place (radio station) in America that plays songs with foul language, never. If they do, they get fined....where did you live in America dumb ass? Stop lying to people.
 
Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Rekebisha hapo juu,watu wasije wakelewa vibaya kuwa ulimaanisha mererani
 
Mpuuzi mmoja wewe!
Unajifananishaje na Diamond hapo ulipo haters.!
umeajiri watu wangapi?
unalipa kodi kiasi gani kwa Taifa hili?
Nchi hii ina kitu gani cha kujivunia kwa uwepo wako?
umelitendea nini Taifa hili ndani na Nje ya mipaka yake?

Watu aina yenu ndio wale ambao mama zenu wala hawakupata hata uchungu kujifungua...!!..
ulizaliwa

Narudia kwa kukuuliza wewe kilema wa fikra, pengine huenda nikawa nakosea kwa sababu si kosa lako kutokuwa na akili ya kuona mbali au hata kuwaza. Swali, ni lini Diamond aliwakalisha taifa hili na kulitendea hili taifa anything zaidi ya kulipa kodi kama nilipavyo mimi? Mimi ni mfanya biashara na nina karibu ya watu 200 katika check book yangu ninaowalipa na serikali inatambua hiyo, kuna miezi mingine ninakuwa na zaidi ya hao watu 200, hivyo ninatunza ama kusaidia familia shinda hata huyo Diamond. Usipende kuropoka tu kwa hasira, Diamond hakusaidii chochote katika maisha yako ila unatokwa na mapovu tu, hivi huoni haibu?
 
Yani kwa huu upupu uliouandika inaonekana kwenye hiyo obulongata yako kumejaa uharo kweli kweli. Acha kuongea kishabiki ama kiteam.

Sasa nani anaongea kishabiki au kiteam kama si wewe, wabongo muwe mnafikiri msikurupuke kujibu tu as if mnakimbilia kunya.
 
Sasa kwa akili yako ni sawa kuangalia video ya yule binti aliye uchi? Suppose uko na wazazi wako, unaweza kuangalia hiyo video? Vitu vingine si vya kuiga jamani, tulinde tamaduni zetu.
Hivi wewe ukiwa na wazazi wako hua unaangalia miziki ya kisasa mkuu?
 
Narudia kwa kukuuliza wewe kilema wa fikra, pengine huenda nikawa nakosea kwa sababu si kosa lako kutokuwa na akili ya kuona mbali au hata kuwaza. Swali, ni lini Diamond aliwakalisha taifa hili na kulitendea hili taifa anything zaidi ya kulipa kodi kama nilipavyo mimi? Mimi ni mfanya biashara na nina karibu ya watu 200 katika check book yangu ninaowalipa na serikali inatambua hiyo, kuna miezi mingine ninakuwa na zaidi ya hao watu 200, hivyo ninatunza ama kusaidia familia shinda hata huyo Diamond. Usipende kuropoka tu kwa hasira, Diamond hakusaidii chochote katika maisha yako ila unatokwa na mapovu tu, hivi huoni haibu?
Ninatumai unaweza kujicheka baada ya kurudia kusoma ulichoandika.!
yamkini Diamond hanisaidii mimi binafsi lakini ninapokuwa Nje ya Nchi hii huwa najisikia fahari sana Kusikia Nyimbo zake zikichezwa kwenye redio kadhaa za huko kila ukitune unasikia

" this is Diamond a musician from Tanzania"

huwa ninatembea kifua mbele na kuona fahari mimi kuwa mtanzania na hata kurudia kupiga mziki wake kwa sauti ya juu ndani ya gari niwapo Nje ya Nchi..hii ni zaidi ya zawadi kwangu ambayo yamkini hata mama yako mzazi asingeweza kufikiria kunizawadia.!

Diamond amewakilisha mziki wa Taifa hili mara nyingi wala sihitaji kukwambia mara ngapi lakini wajuzi walio humu waweza kukupa jibu likutoshalo
wala sihitaji kukueleza habari za kombe la dunia huko Russia.!

Je wewe na familia yako nzima mmeliwakilisha Taifa hili kwa jambo lipi?
by the way kilema mwenzangu wa fikra..
Diamond hanifahamu wala sidhani kama ana sabbu yoyote ya yeye kunifahamu lakini alifanyalo ana sapoti yangu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom