hehehhehe Jot mchekeshaji kama ujamuelewa ningumu.. Ongezea team PakaView attachment 725986
Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media.
Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa watumwa wa media umepitwa na wakati na haitokaa itokee apotezwe na media.
Kwa taarifa tu ni kwamba media zilizofungia content za Diamond ndio pia zimefungia content za Joti kwa muda mrefu.
Sasa kwa akili yako ni sawa kuangalia video ya yule binti aliye uchi? Suppose uko na wazazi wako, unaweza kuangalia hiyo video? Vitu vingine si vya kuiga jamani, tulinde tamaduni zetu.
Daah Ulivyokurupuka ka unajisaidia kichakani....relaxSasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Hivi wewe ukiwa na wazazi wako hua unaangalia miziki ya kisasa mkuu?
Ninatumai unaweza kujicheka baada ya kurudia kusoma ulichoandika.!
yamkini Diamond hanisaidii mimi binafsi lakini ninapokuwa Nje ya Nchi hii huwa najisikia fahari sana Kusikia Nyimbo zake zikichezwa kwenye redio kadhaa za huko kila ukitune unasikia
" this is Diamond a musician from Tanzania"
huwa ninatembea kifua mbele na kuona fahari mimi kuwa mtanzania na hata kurudia kupiga mziki wake kwa sauti ya juu ndani ya gari niwapo Nje ya Nchi..hii ni zaidi ya zawadi kwangu ambayo yamkini hata mama yako mzazi asingeweza kufikiria kunizawadia.!
Diamond amewakilisha mziki wa Taifa hili mara nyingi wala sihitaji kukwambia mara ngapi lakini wajuzi walio humu waweza kukupa jibu likutoshalo
wala sihitaji kukueleza habari za kombe la dunia huko Russia.!
Je wewe na familia yako nzima mmeliwakilisha Taifa hili kwa jambo lipi?
by the way kilema mwenzangu wa fikra..
Diamond hanifahamu wala sidhani kama ana sabbu yoyote ya yeye kunifahamu lakini alifanyalo ana sapoti yangu ya kutosha.
Tulianza taratibu kuzoea kuwaona wanawake wakiwa wanacheza na vichupi tupu mbele ya wazazi wetu, na hawahawa BASATA walikuwepo na waliachia tu tuharibike.
Kama hatukuyaona haya katika nyimbo za watanzania, basi tuliyashuhudia katika nyimbo za nje ya Tanzania ambazo zilirushwa katika vituo vyetu Tanzania na BASATA wakiwa wasimamizi ila hawakuona.
Hawawezi kutukunja sasa hivi tukiwa tumeshakauka, watuache tu, mila zetu zimetushinda wacha ziende tu.
Usikute joti alikuwa anachekesha tu hapo
Nakuuliza kwa mara ya pili, ni lini Diamond aliwakilisha taifa hili kimuziki? Sina sababu ya kuandika mapovu yasiyo na msingi kama wewe kwani unaonyesha ni mtu wa namna gani na siku zote mtu asiyejitambua anakuwa mgumu kuelewa hata a simple question because akili yake imeganda kwa kitu akiaminiacho hata kama si cha uhakika/ukweli. Lini Diamond aliwakilisha hili taifa kimuziki nje?
English ilizaliwa uingereza na kukulia Marekani,ikaanza kuugulia Afrika,na soon naskia inaweza kukatia roho AsiaYour not serious my friend !mybe not america i experience
Ushawahi kuona ngoma za asili jinsi zilivyo mkuu?Kwa hiyo miziki ya kisasa ni ya kukaa uchi? Msipende kuiga kila kitu, vingine si vya kuiga hata kidogo. Tamaduni yetu Afrika ni tofauti kabisa na Marekani au Ulaya.
Mkuu sory naomba mfano wa nyimbo iliyofungiwa marekan _?..Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Maadili ya mtanzania ni yapi ?Sasa jiulize, kwa akili yako unafikiri Diamond yuko sawa? Nyimbo zake zimefungiwa kwa sababu hazing maadili, hata huko Marekani HAKUNA wimbo usio na maadili unapigwa redioni bila kuwa edited, yeye Diamond nani mpaka asifungiwe? Akiona vipi ahame tu nchi, tunataka wanamuziki wa kweli si wababaishaji.
Wowowo haijafungiwa mwambie akaangalie na wazazi kwan ina maadili ndo maana haijafungiwaHivi wewe ukiwa na wazazi wako hua unaangalia miziki ya kisasa mkuu?
Mbona Mimi nakiona kipo sawa kabisa mkuu ,,,Kingereza hiki!!!!!
Mkuu mbona lugha imekaa bomba kabsa iyo sema tofaut ni kweny malipo ya ada tu ndo naon tatiz lilipoanziaEnglish ilizaliwa uingereza na kukulia Marekani,ikaanza kuugulia Afrika,na soon naskia inaweza kukatia roho Asia
Dah hujamtendea haki jamaaJoti utamuweza, waliwahi kumkamata akipiga punyeto pale Leaders club akasingizia ana act, wananchi wakaacha matofali chini na kumwacha amalizie haja yake.
Hahaha mkuu chuki inamsumbua yule nothing elseWowowo haijafungiwa mwambie akaangalie na wazazi kwan ina maadili ndo maana haijafungiwa
Mkuu sory naomba mfano wa nyimbo iliyofungiwa marekan _?..