mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Maadili ya mtanzania ni yapi ?
Una miaka mingapi usijuwe maadili ya kitanzania? Wewe hapo ulipo unaweza kuongea na baba yako ama mkubwa wako umeshika pumbu na kuvaa mlegezo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadili ya mtanzania ni yapi ?
Dah hujamtendea haki jamaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli mkuuView attachment 725986
Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media.
Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa watumwa wa media umepitwa na wakati na haitokaa itokee apotezwe na media.
Kwa taarifa tu ni kwamba media zilizofungia content za Diamond ndio pia zimefungia content za Joti kwa muda mrefu.
Braza daah mbona jibu refu hivi ??! Eti [emoji124] [emoji109] nimeshindwa kusoma bwanaHivi unaelewa unaandika nini au ni katika ile hali ya ubishi usio na tija? Sijakuambia ama kuandika popote pale kuwa wimbo wa msanii fulani umefungiwa Marekani, nilichosema ni kwamba nyimbo za matusi za wasanii wa Marekani hazipigwi redioni huko Marekani bila kuwa edited ila hapa Bongo zinapigwa hivyo hivyo huku dj na mtangazaji wanachekelea. Kumbuka kuwa wasanii wa Marekani wanapotoa wimbo ama nyimbo katika CD zao kuna zile radio version ambazo zimechujwa kuendana na maadili na Club version za matusi ambazo hazipigwi redioni ila hapa Bongo tunazipiga wakati wamarekani wenyewe hawazipigi, sasa kama huu si ujinga ni nini?
Braza daah mbona jibu refu hivi ??! Eti [emoji124] [emoji109] nimeshindwa kusoma bwana