Mkuu ukishafehemu maana ya ile methali isemayo MASKINI AKIPATA.... wala hausumbuki na mtuMsanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu "Joti" ameandika maneno yanayotafsirika kuwa ni kejeli kwa watu wanaojitafuta kimaisha.
Kupitia ukurasa wake Joti ameandika "Kuna umri ukifika hutakiwi kutafuta connection, wewe ndio unatakiwa kuwa connection".
Ukiangalia maneno hayo utagundua kuwa msanii Joti amewakejeli watu wazima wasio na maisha ya kueleweka.
View attachment 2868123
Huo sio ukweli kwahy unataka kunambia connection ina umri? Yeye mwenyewe mpaka hapo alipo bado kuna baadhi ya vitu/maeneo atahitaji connection kuyafikiaSijui kwanini watu wakiambiwa ukweli huona ni dharau