Joti kateleza hapa

Joti kateleza hapa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu "Joti" ameandika maneno yanayotafsirika kuwa ni kejeli kwa watu wanaojitafuta kimaisha.

Kupitia ukurasa wake Joti ameandika "Kuna umri ukifika hutakiwi kutafuta connection, wewe ndio unatakiwa kuwa connection".

Ukiangalia maneno hayo utagundua kuwa msanii Joti amewakejeli watu wazima wasio na maisha ya kueleweka.

Screenshot_20240111-101956_1.jpg
 
Akitaka kujua maana ya Connection haina Umri..aangalie mwaka huu 2024 na 2025
Connection kati wajumbe wa Ccm na mbio za uenyekiti wa mtaa ,Udiwani,Ubunge na Uraisi.

Ukijua sana ni upumbavu,Elon ,Jef,Bill,Dangote,Kib Dangote hawa wate mpaka sasa wanahangaika na connection kuendelea kutafuta kipato kikue zaidi.

Ni mpuuzi mmoja labda kama anamaanisha connection ya Porno au kupigwa miti sawa.
 
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu "Joti" ameandika maneno yanayotafsirika kuwa ni kejeli kwa watu wanaojitafuta kimaisha.

Kupitia ukurasa wake Joti ameandika "Kuna umri ukifika hutakiwi kutafuta connection, wewe ndio unatakiwa kuwa connection".

Ukiangalia maneno hayo utagundua kuwa msanii Joti amewakejeli watu wazima wasio na maisha ya kueleweka.

View attachment 2868123
Mkuu ukishafehemu maana ya ile methali isemayo MASKINI AKIPATA.... wala hausumbuki na mtu
 
Ukipata connection jitahid uwe connection kwa wnzako nadhani ndio wazo nzuri maana riziki Hz tunapewa kila mtu kwa muda wake
 
Hili ndio tatizo la kuwa maarufu halafu una akili ndogo.

Dunia hii hakuna mtu anaweza kufanya kila kitu mwenyewe.

Yaani hata hao unaowaona wametoboa pia bado wanahitaji na wanazisaka connections.

Uhitaji wa connection ni endless so long as you are a human.

Hakuna mtu aliyekamilika.

Kajamaa kajinga sana haka.
 
Back
Top Bottom