Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu "Joti" ameandika maneno yanayotafsirika kuwa ni kejeli kwa watu wanaojitafuta kimaisha.
Kupitia ukurasa wake Joti ameandika "Kuna umri ukifika hutakiwi kutafuta connection, wewe ndio unatakiwa kuwa connection".
Ukiangalia maneno hayo utagundua kuwa msanii Joti amewakejeli watu wazima wasio na maisha ya kueleweka.