Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti.
Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua, muanze kusingizia mmetekwa? Kwanini wapinzani hamtaki wenzenu wawe na uhuru wao wa kujieleza wakati nyinyi Kila siku mnapiga kelele kwamba mnataka uhuru wa kutoa maoni?
Yale ni maoni yake mbona mnakuwa watoto kwa mambo madogo madogo? Bado mnajitafuta au mnadhani nchi nzima watakuwa na mtazamo kama wenu? Acheni upopoma Joti popote ulipo tafadhali achilia kombola lingine tutakupngezea ulinzi!
===
Alichokiandika Joti kwenye ukurasa wake wa Twitter
"Nataka siku nifanye skit ya kinyade sana jinsi katiba inaweza kushusha bei ya msosi n.k. ila nipeni ideas kwenda jotitvtz@gmail.com. Idea freshi ambayo nitaitumia nitaitaja hapa & Insta na nitamlipa aliyeitoa (Jiwe mbili safi). Iwe simpo mtu mwenye kichwa kizito kuelewa. Peji 1."