Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

Elimu ya joti ni ndogo Sana [emoji38] hpn kwa kweli nimeona Twitter yake ila sikubaliani nae anapazwa kupewa elimu juu ya nn katiba itafanya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Katiba haiwezi kufanya chochote ikiwa nyinyi mnategemea katiba TU kazi mnayo !!! Fanyeni kazi wenzenu wanapiga kelele kuhusu katiba lakini mwisho wa mwezi wanapeana posho za kupayuka nyie mnashinda mnapayuka lakini wanaonufaika na makeleke yenu ni Mr dj
 
Siku nyingine uwe unatulia, kufikiria, kukusanya data na kujiandaa na wana JF. Siyo unaanzisha usiyoyaweza. Utachanganyikiwa na kutoka umejikasirisha.
 
Comedian ni kazi kama kazi zingine na Wana haki ya kutoa mchango wao kwenye taifa letu ,mbona nyinyi mwenyekiti wenu ni dj mstaafu au ?

..lakini Mbowe anafanya siasa hafanyi u-Dj ktk chama au katika masuala muhimu kama hoja ya katiba mpya.

..Joti anayo haki ya kujadili katiba mpya. Anaweza kuipinga, au kuiunga mkono. Asichotakiwa kufanya na kudhoofisha, au kuhujumu mjadala, huo kwa kutumia taalum yake ya comedy.
 
Siku nyingine uwe unatulia,kufikiria,kukusanya data na kujiandaa na wana JF.Siyo unaanzisha usiyoyaweza.Utachanganyikiwa na kutoka umejikasirisha.
Uelewa wako ni mdogo na unafikiria kwa kutumia upande Moja wa ubongo
 
Unataka twende Twitter kuona???
 
Wanasiasa huwa wanatetea haki za kibinadam ikiwepo na kutetea Uhuru wa kujieleza ila huwa hawapo tayari kuona mtu akijieleza tofauti na msimamo wao wa kisiasa.
Ndo hapo huwa naona wanasiasa akili zao ni sawa tu kila mmoja yupo kwaajili ya masalahi yake
 
Hizi akili za kudharau wasiosoma na kuona waliosoma degree za wazungu madarasani ndio wenye akili na peke yao ndio wanaweza kuzungumzia katiba, nafikiri wewe ni mpuuzi kuliko hao comedians unaowadharau, huyo Joti ni comedian mzuri sana na amefanikiwa kwa kutumia akili yake na nina uhakika ana pesa halali nyingi kuliko hao maprofesa wezi kama chenge, inawezekana alikulia kwenye umaskini ndio maana hakupata bahati kwenda shule ila kwa mafanikio yake anaonekana ana akili sana
 

..sijadharau kipaji, akili, au fedha alizonazo Joti.

..nilichosema ni kwamba Joti hana UTAALAMU na masuala ya katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…