BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Inawezekanaa kabisa wenye coment za aina yako joti yuko juu kimaisha kuwazidi nyie, hicho ni kipaji chake cha kuigiza na kuvaa uhusika mbalimbali, lakini waswahili wanasema "akili kumkichwa" kwamba anajua anachofanya, na maisha yake yanazidi kua juu na makampuni ya simu yanamgombania yampe mikataba minono ya matangazo ..that means more money, thus why hata anaweza kukodi ukumbi mlimani city..nenda kaulize kukodi ukumbi pale ni shiling ngapi...Mvue nguo nimwone sasa naonaje huku kavaa
Sasa wewe ndio unapanga nani awe baba yako?Hakunaga Mababa wa hivi, labda awe baba wa mtu mwingine sio mimi.
Kwahiyo chini ya kivuli cha pesa unafanya chochote hata kujifhalilisha sioInawezekanaa kabisa wenye coment za aina yako joti yuko juu kimaisha kuwazidi nyie, hicho ni kipaji chake cha kuigiza na kuvaa uhusika mbalimbali, lakini waswahili wanasema "akili kumkichwa" kwamba anajua anachofanya, na maisha yake yanazidi kua juu na makampuni ya simu yanamgombania yampe mikataba minono ya matangazo ..that means more money, thus why hata anaweza kukodi ukumbi mlimani city..nenda kaulize kukodi ukumbi pale ni shiling ngapi...
nyie endeleeni na kejeli zenu when people are puting more money in their bank accounts ..kalanga baho
kumbe unawafahamu bestitoHaki Jotti Hongera kwa kumuoa huyu bidada maana mmetoka naye mbali mno!Mungu awatangulie katika safari yenu.
Mbona km mdada mbaya au machp yangu jamani...
Matukio katika picha mchekeshaji joti akiwa na mkewe mtarajiwa kwenye sendoff paty yao. Jumamosi hii ndio harusi babkubwa ndani ya ukumbi wa mlimani city
Heshima boss?.Hongera kwake wifi mzuri..
Isijekua yupo location hapo jaza ujazwe
Na jamaa anajua kuyatendea hali matangazo sio siri humi ndani tangazo lolote alilomo likianza watoto wanatulia kutizama km nguchiro juu ya kichuguuInawezekanaa kabisa wenye coment za aina yako joti yuko juu kimaisha kuwazidi nyie, hicho ni kipaji chake cha kuigiza na kuvaa uhusika mbalimbali, lakini waswahili wanasema "akili kumkichwa" kwamba anajua anachofanya, na maisha yake yanazidi kua juu na makampuni ya simu yanamgombania yampe mikataba minono ya matangazo ..that means more money, thus why hata anaweza kukodi ukumbi mlimani city..nenda kaulize kukodi ukumbi pale ni shiling ngapi...
nyie endeleeni na kejeli zenu when people are puting more money in their bank accounts ..kalanga baho
Apunguze makulaji vinginevyo atazeeka vibaya mno na bwana ake alivyo km kitoto kazi ako nayoMbona km mdada mbaya au machp yangu jamani...
Nami nshasikia tetesi kuwa wewe si rizkiKuna tetesi kuwa JOTI si Rizki..
Ni kweli Miss E's....mtetezi wa Mapunga...!!Nami nshasikia tetesi kuwa wewe si rizki
Hahahaha! duhKumbe Joti ni Mwanaume