BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Inawezekanaa kabisa wenye coment za aina yako joti yuko juu kimaisha kuwazidi nyie, hicho ni kipaji chake cha kuigiza na kuvaa uhusika mbalimbali, lakini waswahili wanasema "akili kumkichwa" kwamba anajua anachofanya, na maisha yake yanazidi kua juu na makampuni ya simu yanamgombania yampe mikataba minono ya matangazo ..that means more money, thus why hata anaweza kukodi ukumbi mlimani city..nenda kaulize kukodi ukumbi pale ni shiling ngapi...Mvue nguo nimwone sasa naonaje huku kavaa
nyie endeleeni na kejeli zenu when people are puting more money in their bank accounts ..kalanga baho