Joti kufunga ndoa Jumamosi hii

Joti kufunga ndoa Jumamosi hii

Mvue nguo nimwone sasa naonaje huku kavaa
Inawezekanaa kabisa wenye coment za aina yako joti yuko juu kimaisha kuwazidi nyie, hicho ni kipaji chake cha kuigiza na kuvaa uhusika mbalimbali, lakini waswahili wanasema "akili kumkichwa" kwamba anajua anachofanya, na maisha yake yanazidi kua juu na makampuni ya simu yanamgombania yampe mikataba minono ya matangazo ..that means more money, thus why hata anaweza kukodi ukumbi mlimani city..nenda kaulize kukodi ukumbi pale ni shiling ngapi...
nyie endeleeni na kejeli zenu when people are puting more money in their bank accounts ..kalanga baho
 
Kwahiyo chini ya kivuli cha pesa unafanya chochote hata kujifhalilisha sio
 
Joti kiboko hamna mchango wa laki..kuanzia M1 kwenda mbele
 
Haki Jotti Hongera kwa kumuoa huyu bidada maana mmetoka naye mbali mno!Mungu awatangulie katika safari yenu.
 
Hata kidume kinafanyiwa send off? Wakristo tusaidieni
 
e122bb3271df970849eb6e69b8c601a7.jpg

Matukio katika picha mchekeshaji joti akiwa na mkewe mtarajiwa kwenye sendoff paty yao. Jumamosi hii ndio harusi babkubwa ndani ya ukumbi wa mlimani city
Mbona km mdada mbaya au machp yangu jamani...
 
Inawezekanaa kabisa wenye coment za aina yako joti yuko juu kimaisha kuwazidi nyie, hicho ni kipaji chake cha kuigiza na kuvaa uhusika mbalimbali, lakini waswahili wanasema "akili kumkichwa" kwamba anajua anachofanya, na maisha yake yanazidi kua juu na makampuni ya simu yanamgombania yampe mikataba minono ya matangazo ..that means more money, thus why hata anaweza kukodi ukumbi mlimani city..nenda kaulize kukodi ukumbi pale ni shiling ngapi...
nyie endeleeni na kejeli zenu when people are puting more money in their bank accounts ..kalanga baho
Na jamaa anajua kuyatendea hali matangazo sio siri humi ndani tangazo lolote alilomo likianza watoto wanatulia kutizama km nguchiro juu ya kichuguu
 
nikilikumbuka Tangazo za Danube najikuta nacheka maana huyo joti anavyokua kama mwanammke kweli[emoji23][emoji23]...
Mungu awasimamie sana ... Hongera Joti
 
Joti anafunga ndoa kesho ,Jumamosi , katika kanisa Katoliki Magomeni.
 
Back
Top Bottom