Joti wa Ze Komedi

Joti wa Ze Komedi

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Jamani mbona sijawahi kumsikia Joti akitajwa kuwa na msichana au mke?
Huwa namuona akiigiza kama mdada, na pia nasikia watoto wa mjini walisha wahi kumla kiboga.
Jamani Joti, si bora utafute lidada limoja utulie nalo?
Nakupongeza nasikia umejenga huko Kigamboni, ila nyumba bila mwanamke ni ghetto.
 
Mbona kama umesha conclude kuwa hana mke, wakati mwanzo uliuliza swali. Fuatililia niliwahi kuona akiwa na familia yake.
 
Mbona kama umesha conclude kuwa hana mke, wakati mwanzo uliuliza swali. Fuatililia niliwahi kuona akiwa na familia yake.

Familia?? Yaani mke na watoto?
 
mmh hh .. dada kiboga jamani kweli haya yasemwayo ?.
 
Jamani Joti hajawahi kuwa cameruned, kashfa hiyo ilienea sana kipindi kile cha aliyefulia. Eti ikasadikiwa alivyomtoa yule boss wa Scandinavia kufulia basi naje akamtafutia masela wamkameruni lakini habari hiyo ilikuwa ni majungu na uzushi usio na ushahidi wowote ule.
 
Wabongo never boring at all, mmefanya masaburi wa watu ajitambulishapo kwenye hafla watu wewe du!

Nasikia Masaburi amejaaliwa, anayo makubwa sana, kuliko dada yake
 
Watu kwa kupenda kufuatillia maisha ya watu!Mbona maisha yenu hamyaweki humu tukajua?
 
YalaaaaH! wamesha mla kiboga? hahahahaaaa! kumbe. hayo tena!
 
Joti ana mke na mtoto mmoja, binti, naitwa loveness
 
Jaman achen uzushi nyie watu.kama hujui maisha ya mtu ts beta ukae kimya.niliwah kumsikia Joti Clouds fm akihojiwa akasema ana girlfrnd na mtoto mmoja wa kike.sasa mnaomzushia achen mambo yenu hayo.
 
Jaman hii ni sehem ya kupanua mawazo (great thinkers) siyo majungu. Wekeni story zenu kwanza. Inaonyesha mtoa maada unaliwa sasa unataka muonekane mpo wengi. Acha ujinga huo.
 
Back
Top Bottom