Uchaguzi 2020 Joto la Kampeni leo limeshuka chini mno

Mgombea wa Urais kupitia CCM Mpya alipoonyesha umahiri wa kupiga tumba
 
hapo bado mzee baba hajaja..kwaheri SUGU
 
Nenda kasome na kujua maisha ya nyumbu yakoje porini,ujue kwann Kuna wanachama wa chama Cha mafisadi kwa Sasa kwa nn wanaitwa nyumbu.
 
Ok,nina jini langu nalifuga linaitwa makata,kesho asubuhi ukiamka jikague kwenye makalio,huwa sibishani kwa maneno bali nabishana kwa vitendo.
labda usilale leo ila ukipitiwa na isingizi tu umekwisha.
Pumbafuu
 
CCM wenyewe wanakwambia hawafanyia kampeni wanasherehekea mafanikio na kuwahimiza wanachama wao wakapige kura wasije ridhika kwamba wameshashinda wakajisahau wasiende kupiga Kura.
Wako wanaendelea na Sherehe Za ushindi ni mwendo wa burudani tu na hutuba Za kukumbushana kupiga Kura.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunazungumzia uhakika wa 65% sasa sijui wewe hiyo 64% unaitoa wapi. Kampeni za kisayansi hazifanywi kwa kuwatumia wasanii na watoto wa shule za msingi, bali ni kwa kujenga hoja imara zenye mashiko kwa Watanzania.
Nimecheka kisha nikaona nisikujibu tu 64 kwa 30? Haya bhana ngoja niendelee kipiga faru john ili muda ufike wa kulala.
 
Full matamasha hakuna kinachojadiliwa kilichotekelezwa kikatimia na yajayo toka CCM Mpya
Upinzani kuchukua nchi mnakazi sana, hivi hamjui ccm inapotumia wasanii wananchi wengi wanajitokeza na hivyo wanashawishiwa kwa kile kinachoelezwa. Bakini kusema matamasha huku wenzenu wanatumia mbinu hiyo kuwafikia walio wengi
 
Kawakalisha wapumbavu tu. Unadhani kwanini anahofia Tume huru na kura kuhesabiwa hadharani kama kweli anajiamini kupata ushindi halali kwa aliyoyafanya tangu 2015!?


Magufui kwenye ring asimami na mtu dk 10,amewskalisha mapema sana.
 
Kawakalisha wapumbavu tu. Unadhani kwanini anahofia Tume huru na kura kuhesabiwa hadharani kama kweli anajiamini kupata ushindi halali kwa aliyoyafanya tangu 2015!?
Uhalali upo kwa Mungu tu,duniani hapa akuna uhalali.
 
Pumzi ya saccos imekwisha sababu sio chaguo la wenye chama, na zaidi ulopokaji wake wakuongea mambo ya Nyerere na muungano ambao sio shida kuu ya wa tz , imempunguzia credibility yake kama kiongozi wa nchi na kuonekana anakofaa ni kazi ya "uharakati" hata DJ aka darasa la 7 la zamani anamshinda kwa busara .
Kama Muungano una Mapungufu na yeye ni kiongozi ni ku spearhead reforms ambazo utaufanya huo muungano kuwa robust kwani umoja ni nguvu utengano ni uzaifu, lakini ukiona mtu anashindwa jambo hilo , basi akili yake itakuwa inaulakini
 
Acheni kubebanisha maneno nyie, tayari yule ndugu yenu raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Tanzania keshaonesha kwamba hali ni ngumu maji yamefika shingoni na pumzi imekata kwa upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…