Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kasome na kujua maisha ya nyumbu yakoje porini,ujue kwann Kuna wanachama wa chama Cha mafisadi kwa Sasa kwa nn wanaitwa nyumbu.Ule msisimko wa kampeni nzima za uchaguzi kwa kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya ofisi ya Rais leo haukuwepo kabisa, si tu katika mitandao maarufu ya kijamii, bali pia kutoka katika vyombo makini vya habari hapa nchini. Hii yote ni kwa sababu yule Rais Mtarajiwa, "the game changer" hakuwa na ratiba ya kufanya kampeni.
Tumeona makada wote maarufu wa chama chakavu, wakijigawanya kimkakati nchi nzima ili kuweza kujaribu kupambana na hoja kinzani. Tunawashuhudia Jakaya, Pinda, Samia, Majaliwa na makada wengine wakihangaika na kuishiwa pumzi mapema huku hawajui nini kitakuwa hatima ya maisha yao ya kisiasa.
Wakati Tundu mwana wa Lissu, yupo bado "very compromised" katika hatua za awali za siasa za kimkakati za kanda. Amefanya tathimini ya yale yaliyojili huku akiwa anaongoza kwa 65% huku akimwacha kwa mbali mgombea wa CCM akiwa na 30%, huku vyama vingine vikiambulia 5% tu.
Kwa upande wa Zanzibar, upepo umetokea wa ghafla na nyeti za mtetea CCM zipo hadharani. Siri za JMT zimewekwa hadharani na koti la Tanganyika waliovishwa Wazanzibari limeoneka si lolote bali ni ukoloni kama ulivyo mwingine wowote ule.
Sasa, sasa (kwa mnukuu Rais Mtarajiwa), uchaguzi huu wa mwaka 2020 ni tofauti kabisa kuliko chaguzi nyingine zote zilizotangulia. CCM imebananishwa kote Tanzania Bara na Visiwani. Wapigakura wawachague viongozi wao kwa njia ya kidemokrasia, ukishindikana haki itatafutwa kwa nguvu za umma, kwa kujitokeza kupinga dhuluma barabarani.
PumbafuuOk,nina jini langu nalifuga linaitwa makata,kesho asubuhi ukiamka jikague kwenye makalio,huwa sibishani kwa maneno bali nabishana kwa vitendo.
labda usilale leo ila ukipitiwa na isingizi tu umekwisha.
Nimecheka kisha nikaona nisikujibu tu 64 kwa 30? Haya bhana ngoja niendelee kipiga faru john ili muda ufike wa kulala.
Full matamasha hakuna kinachojadiliwa kilichotekelezwa kikatimia na yajayo toka CCM Mpya
Magufui kwenye ring asimami na mtu dk 10,amewskalisha mapema sana.
Huyuhuyu Hussein Mwinyi aliyesusiwa msikiti akaenda kusngalia Zuma.Raisi wa Muungano ni John Pombe Magufuli na Raisi wa Zanzibar ni Hussein Ali Mwinyi, ova
Uhalali upo kwa Mungu tu,duniani hapa akuna uhalali.Kawakalisha wapumbavu tu. Unadhani kwanini anahofia Tume huru na kura kuhesabiwa hadharani kama kweli anajiamini kupata ushindi halali kwa aliyoyafanya tangu 2015!?
Pumzi ya saccos imekwisha sababu sio chaguo la wenye chama, na zaidi ulopokaji wake wakuongea mambo ya Nyerere na muungano ambao sio shida kuu ya wa tz , imempunguzia credibility yake kama kiongozi wa nchi na kuonekana anakofaa ni kazi ya "uharakati" hata DJ aka darasa la 7 la zamani anamshinda kwa busara .Ule msisimko wa kampeni nzima za uchaguzi kwa kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya ofisi ya Rais leo haukuwepo kabisa, si tu katika mitandao maarufu ya kijamii, bali pia kutoka katika vyombo makini vya habari hapa nchini. Hii yote ni kwa sababu yule Rais Mtarajiwa, "the game changer" hakuwa na ratiba ya kufanya kampeni.
Tumeona makada wote maarufu wa chama chakavu, wakijigawanya kimkakati nchi nzima ili kuweza kujaribu kupambana na hoja kinzani. Tunawashuhudia Jakaya, Pinda, Samia, Majaliwa na makada wengine wakihangaika na kuishiwa pumzi mapema huku hawajui nini kitakuwa hatima ya maisha yao ya kisiasa.
Wakati Tundu mwana wa Lissu, yupo bado "very compromised" katika hatua za awali za siasa za kimkakati za kanda. Amefanya tathimini ya yale yaliyojili huku akiwa anaongoza kwa 65% huku akimwacha kwa mbali mgombea wa CCM akiwa na 30%, huku vyama vingine vikiambulia 5% tu.
Kwa upande wa Zanzibar, upepo umetokea wa ghafla na nyeti za mtetea CCM zipo hadharani. Siri za JMT zimewekwa hadharani na koti la Tanganyika waliovishwa Wazanzibari limeoneka si lolote bali ni ukoloni kama ulivyo mwingine wowote ule.
Sasa, sasa (kwa mnukuu Rais Mtarajiwa), uchaguzi huu wa mwaka 2020 ni tofauti kabisa kuliko chaguzi nyingine zote zilizotangulia. CCM imebananishwa kote Tanzania Bara na Visiwani. Wapigakura wawachague viongozi wao kwa njia ya kidemokrasia, ukishindikana haki itatafutwa kwa nguvu za umma, kwa kujitokeza kupinga dhuluma barabarani.
Uhalali upo kwa Mungu tu,duniani hapa akuna uhalali.
Mbatiwa kama sio Mulema!Huyo mzee aliyevaa bukta za Yanga ni nani ?