Uchaguzi 2020 Joto la Kampeni leo limeshuka chini mno

Kuna wakati niliwaza VICHAA huwa wapo mitaani tu KUMBE hata mitandaooni Kuna VICHAA haha uandishi Wa kiwendawazimu huu
 
Neno kuu ni hili;
CCM 2020 NI YA MIZAHA TUU
 
Miaka mingine mitano kwa JPM, that's it, hutaki kunywa dawa uzime!! 28th Oct. tunamaliza tu.
 
Upinzani kuchukua nchi mnakazi sana, hivi hamjui ccm inapotumia wasanii wananchi wengi wanajitokeza na hivyo wanashawishiwa kwa kile kinachoelezwa. Bakini kusema matamasha huku wenzenu wanatumia mbinu hiyo kuwafikia walio wengi
Kwa hiyo wananchi wengi ni wajinga? Kwamba wanakogwa na matamasha sio hoja?
Jee hayo ndio mafanikio ya CCM kuendekeza ujinga katika nchi ili kusomba kura?
 
Haikosi wewe una umri wa miaka 75 na kuendelea. Kama sivyo basi una akili mgando kiasi unashindwa kuelewa kuwa mbinu ya Lissu ni kujenga muungano wa kisasa wenye makubaliano ya hiari na kisheria pia kuleta maendeleo.
Huu muungano ni wa upande mmoja, usio tija, maelewano wala maendeleo hivyo ni kama ndoa ya lazima
 
Then unatakiwa kuongea hivyo ukiwa in the driving seat not as a passenger , unless akili yako ni kama ya Anti.
U can imagine a passenger in a daladala wants to take over a daladala from the driver.
Na ukizungumzia umri unaonyesha wewe ni mtoto ndio maana unawaza vitu hivyo vinaweza kuwa dealt kitoto kwa hadithi za kitoto, UK on in particular David Cameron alifikiri suala la EU anaweza ku deal nalo kitoto, matokeo yake tunaona Leo mpaka wanataka kuvunja sheria ili kulifanikisha, unless wewe hufuatili mambo hivyo fikra zako ni hizo hizo za kitoto, u can think beyond the four walls surrounding U .

1am Brexit latest – Irish PM calls Boris Johnson about deal concerns as PM defends 'illegal' divorce bill change – LIVE
16 hours ago · Follow our Brexit live blog for all the latest news and updates… Joseph Gamp 's avatar Joseph Gamp 42 minutes
 
Ni ujinga kuchukulia suala la UK na EU, maana in kitu tofauti kabisa na ya Tanganyika na Zanzibar.
Umoja wa EU ungeulinganisha na mambo ya East African Community au SADC ambayo ndiyo yangefanana kama TZ tungekuwa katika harakati za kujitoa.
Umeisoma historia ya Ethiopia na kuzaliwa kwa Eritrea? Soma kwanza hilo kisha njoo tujadiliane sababu zilizoishia kuleta mataifa hayo kuwa na vita kubwa wakati ule
 
Hapa tunazungumzia uhakika wa 65% sasa sijui wewe hiyo 64% unaitoa wapi. Kampeni za kisayansi hazifanywi kwa kuwatumia wasanii na watoto wa shule za msingi, bali ni kwa kujenga hoja imara zenye mashiko kwa Watanzania.
Pole sana
 
Kama unasoma vizuri nilishatoa ya muungano wa USA na wa UK
Kama hukusoma narudia kwa ufupi
UK kuna waziri mkuu wa UK ambaye pia ni wa England na kuna Bunge la UK Kama ilivyo kwa Tz na kiongozi wa Tz Bara, na mabunge mengine ya Wales, Ireland na Scotland kama lilivyo la ZNZ na viongozi wao kama ilivyo kwa ZnZ .
Na kumekuwa na tamaa ya Scotland kutaka kujitenga, na issue ya north Ireland kuwa na changamoto kutokana na Brexit agreement na mambo ya peace agreement ya north Ireland.
Lakini hatusiki Anti yao akipiga kelele juu ya Muungano huo , maana ukitetea au kushadadia vitu hivi kila siku itakuwa kupiga kura Leo wa Zzz, Kesho wa Bara, keshokutwa "wanyaturu", mara kaingia madarakani Chakaza , na kuna manunguniko ya watu fulani au yeye Chakaza hapendi kitu fulani basi naye anatupeleka kwenye uchaguzi wa Muungano gani tunapenda wa mkataba etc etc .
 
NYUMBU KATIKA UBORA WAKE.
 
Kwa hiyo wananchi wengi ni wajinga? Kwamba wanakogwa na matamasha sio hoja?
Jee hayo ndio mafanikio ya CCM kuendekeza ujinga katika nchi ili kusomba kura?
Msanii yeyote anayepanda jukwaani kauli ni moja tu kura katika Magufuli 28 na yeye anapigania kampeni
 
Uko vizuri katika jambo hili tatizo unalijadili kiushabiki wa chama sio kimantiki na kiuhalisia.
Pia hapa sio mahala pake, anzisha mada mahususi kuhusu jambo hili kiupekee na hapo utapata michango mizuri zaidi na yenye tija kwa wengine.
Ila utakapo ianzisha usisahau kuweka rejea ya huyu Profesa ambaye ndiye mshauri mkuu wa mambo karibu yote kwa Rais wetu wa sasa.

Your browser is not able to display this video.
 
M Asante Mimi nita m refer Anti ni role model wangu na ndio namuelewa kwa urahisi saana , hutu Prof wa jalalani lugha yake ngumu kidogo kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…