Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Miaka ya myuma mwezi huu haukupaswa kuwa na joto

Huu ndio muda wa joto mkuu tropiki ya kaprikoni na maeneo ya karibu sababu ya jua la utosi na maandalizi ya mvua za masika...

Jua sasa hivi linachapa kweli kweli huku likivukisha maji kwenda mawinguni kutengeneza precipitation itayokuja kuwa mvua miezi kadhaa ijayo...(Jiografia sijui standard gani ile )
 
Basi kutakuwa na "kimbunga" cha mvua! Tujipange.
 
Nimeishi Nzega miaka 6, sikuwahi kuona temperature ya 38°C labda Kuna Nzega nyingine tofauti na hiyo nayo ijua Mimi, halafu pia joto likiongezeka automatically relative humidity nayo inaongezeka, labda pawepo na fizikia nyingine lakini sio tuliyofundishwa mashuleni.
 
joto la daresalaam bado ni ndogo sana kwa sababu bado unaona movment za watu kwa wingi jifunze joto likowapi pamoja na Humidity nenda saudi arabia nenda yemen nenda oman nenda emirate nenda kuweit na qatar mwezi 6 mpaka 11 ndio utajua joto hili la tanzania wao kwao ndio hali inzuri la mwezi 4 na 5
 
Ila hili joto linategemea na ww unakaa wapi.. kuna sehemu huku hakuna joto kabisa na ni Dar hii hii..
Sio sehemu hata nyumba yako umeijengaje inachangia joto kuwa kali zaidi. Nyumba iko kwenye kiwanja cha 400sqm halafu madirisha ya futi 4 kwa 4 na ina ukuta solid kozi 12 unategemea huwa itapita wapi?
 
Kwenye fridge mnawekaga Nini,?

Natumia rea unit 30 kwa mwezi pakiwa na mgao au unit 45 hadi 50 Kama umeme umeshinda

Nyumba vinne, Sina AC feni Ni moja na fridge moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…