Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
😢🤔Uko vizuri Smart.. Ni kubarizi tu
Thank youuuu 😘😘😘
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😢🤔Uko vizuri Smart.. Ni kubarizi tu
Thank youuuu 😘😘😘
Ni teknolojia mpya ya ac inayopunguza matumizi hadi 70%. Kampuni nyingi sasa zinatengeneza inverter na non inventer ac, unachagua ipi unamudu.Inveter ndio kitu gani mazee
AC ya kwenye gari mchana nayo inaelemewa.Habari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity.
Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Hamna cha ajabu ni December huku kwetu ni summer time. Kutofautiana nyuzi 3 au 5 hata mwaka jana na juzi kuna tofauti. Ingekuwa June halafu joto ni 35c ingekuwa ajabu.
Katengeneze AC yako. Huu ndio muda sahihi kujua kama AC nzima au la.AC ya kwenye gari mchana nayo inaelemewa.
Wala usitafte fundi kiongozi mchawi ni hiyo AC maana binafsi kabla sijafunga Ac ,matumizi yangu yalikuwa umeme wa 10,000 ambazo unut 28 natumia siku 5 ,hapo friji halizimwi ,na feni kwangu ziko tatu na makorokoro mengine ,inamana nilikuwa natumia Unit 5.6 kwa siku ,Yaani nilitaka nitafute fundi AC aisee, maana me kwa kawaida nikiwasha AC kwa masaa 4 tu unit 5 mpaka 7 zinakatika
Kiongozi hizi AC za Inveter zinapunguza kasi ya ulaji wa umeme au ni stori tu ,maana kuna jamaa naona kaleta uzi yake ina inveter na mie haina inveter ulaji wake sawa tu naona ,? Ebu nipe ufafanuzi hapa1. Kama ukuta wa chumba haupigwi sana na jua na kuchemka. 2. Hukai ghorofani top floor yenye paa la zege tu 3. Uchumi wa kawaida sana, Btu 9000 inatosha. Kinyume chake chukua btu 1200. Hakikisha ni inverter.
Au kachezea mita?😂😂😂Atakuwa anaiba umeme huyu
Kiongozi hizi AC za Inveter zinapunguza kasi ya ulaji wa umeme au ni stori tu ,maana kuna jamaa naona kaleta uzi yake ina inveter na mie haina inveter ulaji wake sawa tu naona ,? Ebu nipe ufafanuzi hapa
www.tcl.com
Reduce by 30% ur electricity consumption but their bit expensiveKiongozi hizi AC za Inveter zinapunguza kasi ya ulaji wa umeme au ni stori tu ,maana kuna jamaa naona kaleta uzi yake ina inveter na mie haina inveter ulaji wake sawa tu naona ,? Ebu nipe ufafanuzi hapa
Ukiangakua kwa makini mimea ilianza kunyauka.Habari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity.
Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Sawa nimekuelewa kiongoziReduce by 30% ur electricity consumption but their bit expensive
Hivi split type haiwezekani ac zaidi ya moja kushare compressor mojani central AC hizi kama sijakosea
Mi nilikua Nawasha,AC mbili asubuhi mpaka jioni unit zinaenda 20 na kitu weee, na zilikua mpya kabsa,ebu atudadavulie yamkini Kuna namna anayofanya kwenye huu umeme wa Tanesco au tunapigwa kamba tu humu.Btw wanaume wa Dar pole zao korodani zitakua zinatoa cheche kwa joto hili.Iyo Ac kilo ngapi. 1 au 2 maana kwa kawaida nikiwasha ac yangu full 24 hrs natumia unit 15 hadi 14 per day