Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
Dah, nasikitika kupata huu ujumbe late maana hapa nishapiga povu kama 7 hivi na sioni niendako. Nilipark gari pembezoni mwa barabara kujisaidia kumbe nilkuwa naenda kujitupa baharini. Yaani bila wagogo wa pale darajani kunishitua mngekula sadaka kesho na kunililia. Kuanzia sasa, nitawaheshimu Wagogo popote niwaonapo.
 
Tanesco nao wanazingua, usiku wanakata umeme. joto Kama tumelala kwenye tanuri jamani🙆🙆🙆
 
Dodoma yenyewe tu 34 na hatulalamiki.nyie.muda.wote kulalamika
 
Tanesco nao wanazingua, usiku wanakata umeme. joto Kama tumelala kwenye tanuri jamani🙆🙆🙆
Kumbe wanakata na usiku? maneo hasa ya uswazi hapa Dar bila kulala na feni usiku inakuwa majanga...
 
Kyela Mbeya tuna 33°C hata haturingi
 
Samahani ATM ilinishitua wakati tukijadiliana ikabidi nibreki kidogo nkapata viokoto vitatu, wee acha tu naona malengelenge angani kumbe si vizuri kunywa bia, nasisitiza tena usinywe bia.
 
Lind na MTwara mjn inaongoz Kwa joto TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…