Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

Hapa halizungumzwi joto kama joto[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Siku zote dar joto lipo ila ukweli ni huu

MISHAHARA HAIJATOKA HADI MDA HUU,HALI ZA WATUMISHI NI TETE,WALIMU WAKIONGOZA [emoji125][emoji125][emoji125]
 
joto ni kali kuna muda linafika mpaka 34.5 degree za C

huu ni mwaka wa jua na mvua zitakuwa za kutosha now tunateseka na jua masika zaidi tunaseka na mafuliko.
 
Kumbe wanakata na usiku? maneo hasa ya uswazi hapa Dar bila kulala na feni usiku inakuwa majanga...
Yaani wanaenda kwa zamu wiki hii wakikata mchana ni wiki nzima mnakatiwa umeme mchana, wiki inayofuata wanakata usiku. Saa 12 Hadi saa sita usiku
 
"Hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili"

ukiona wanaume wanajadili jambo usiwe na fikra za ki ushindani, unakosa sifa ya uanamke na utashindwa ndoa
We nae kunya ulale
Muda wote uko very negative
Mxieew!!

Huo uzi umeeditiwa jioni hii na mods
Haukuwa hivyo ulivyo uona wewe.
Mtoto wa kiume uwe na step.. Ukoo wako wenyewe hamjamalizika kuolewa, ndio utamfunda nani huku nje??
 
Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
Saa 8 hadi 9 alasiri ilifika 35°Celsius
 
Back
Top Bottom