Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mwanaharakati wa masuala ya Wanawake Joyce Kiria amefunguka kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alisema hatoingia tena kwenye mahusiano ambayo yeye atakuwa na jukumu la kumtunza mume bali ni mwendo wa check ufike akupe matumizi kuanzia nyumba anayoishi, saa, nywele n.k
Check uje hapa nikupe invoice kuanzia nyumba nayoishi hivi nilivyo saa yangu, nywele unavyoiona hapa ni 5 Milioni sio uje hapa na suruali yako.
Amesisitiza kuwa hata hiyo nywele yake ya Milioni 5 mumewe ndio anagharamia.
Source: Mawingu Digital