Joyce Kiria afunguka kusuka nywele kwa Tsh. milioni 5 na mumewe ndio hulipia gharama hizo

Attachments

  • EXfYYjuWkAEtnKl.jpg
    EXfYYjuWkAEtnKl.jpg
    20.2 KB · Views: 22
Mwanaharakati wa masuala ya wanawake Joyce Kiria amefunguka kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alisema hatoingia tena kwenye mahusiano ambayo yeye atakuwa na jukumu la kumtunza mume bali ni mwendo wa check ufike akupe matumizi kuanzia nyumba anayoishi, saa, nywele n.k

Check uje hapa nikupe invoice kuanzia nyumba nayoishi hivi nilivyo saa yangu, nywele unavyoiona hapa ni 5 Milioni sio uje hapa na suruali yako.

Amesisitiza kuwa hata hiyo nywele yake ya Milioni 5 mumewe ndio anagharamia.

Source: Mawingu Digital

Hivi hao wanawake wenyewe anawateteaje kwa huu upuuzi anaoongea???
 
Ndo yule jamaa ambaye watoto wa Kileo wanamtandikaga na ndala kisa wanadai anakula bure kwa mama yao? Dah waliwahi kimdhalilisha kwenye salon moja hivi hadi aibu nikaona mimi.
Halafu Joyce usuke nywele za milioni 5 kisha gari ikuishie mafuta kule wazo? Gari lenyewe brevis chakavuuuu. Niishie hapo tu!
 
Inaumiza sana kwa mwanaume wake wa kwanza kuona mke wake kakumbatiwa hivi sometimes wanawake mnajitafutia kuuwawa
🤣🤣🤣🤣Si wameachana?Sasa huyo mume anataka mwenzie awe msimbe?
 
Sio kila jambo Ni serious jamani,,da Joy anajisemea tu
 
Ndo yule jamaa ambaye watoto wa Kileo wanamtandikaga na ndala kisa wanadai anakula bure kwa mama yao? Dah waliwahi kimdhalilisha kwenye salon moja hivi hadi aibu nikaona mimi.
Halafu Joyce usuke nywele za milioni 5 kisha gari ikuishie mafuta kule wazo? Gari lenyewe brevis chakavuuuu. Niishie hapo tu!
Kwahiyo madogo wanampiga na ndala,wamestuka jamaa ni kama wao anatunzwa tu
 
Huyu mbomoa ndoa sio wa kumuamini labda anatafuta kiki
 
Mwanaharakati wa masuala ya Wanawake Joyce Kiria amefunguka kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alisema hatoingia tena kwenye mahusiano ambayo yeye atakuwa na jukumu la kumtunza mume bali ni mwendo wa check ufike akupe matumizi kuanzia nyumba anayoishi, saa, nywele n.k

Check uje hapa nikupe invoice kuanzia nyumba nayoishi hivi nilivyo saa yangu, nywele unavyoiona hapa ni 5 Milioni sio uje hapa na suruali yako.

Amesisitiza kuwa hata hiyo nywele yake ya Milioni 5 mumewe ndio anagharamia.

Source: Mawingu Digital

Huyu maza ameishiwa hoja za kuongea
 
Kubwa J hili
 
Back
Top Bottom