Joyce Kiria afunguka kusuka nywele kwa Tsh. milioni 5 na mumewe ndio hulipia gharama hizo

Hivi hao wanawake wenyewe anawateteaje kwa huu upuuzi anaoongea???
 
Ndo yule jamaa ambaye watoto wa Kileo wanamtandikaga na ndala kisa wanadai anakula bure kwa mama yao? Dah waliwahi kimdhalilisha kwenye salon moja hivi hadi aibu nikaona mimi.
Halafu Joyce usuke nywele za milioni 5 kisha gari ikuishie mafuta kule wazo? Gari lenyewe brevis chakavuuuu. Niishie hapo tu!
 
Inaumiza sana kwa mwanaume wake wa kwanza kuona mke wake kakumbatiwa hivi sometimes wanawake mnajitafutia kuuwawa
🤣🤣🤣🤣Si wameachana?Sasa huyo mume anataka mwenzie awe msimbe?
 
Sio kila jambo Ni serious jamani,,da Joy anajisemea tu
 
Kwahiyo madogo wanampiga na ndala,wamestuka jamaa ni kama wao anatunzwa tu
 
Huyu mbomoa ndoa sio wa kumuamini labda anatafuta kiki
 
Huyu maza ameishiwa hoja za kuongea
 
Kubwa J hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…