Joyce Kiria Ageukia CCM

Joyce Kiria Ageukia CCM

Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701
Joyce Kiria ni Mwanamke wa Albert Bashite na huu ni mwezi wa pili sasa na wala sio wa Kileo.

Hilo linajulikana na ukitaka ushahidi zaidi utapata.
 
Hivi huyu kiria mbona hajulikani rangi yake
tapatalk_1523441365032.jpeg
 
Ni funzo kwa wanaume wengine ukiona mwanamke anaisaliti ndoa kwa ajili yako jua na wewe yatakukuta!Karma is real

That’s true, kileo aliona mwenzie kafatwa na matarumbeta kulazimishwa atoe talaka, akaingia kichwa kichwa. Ila bora kaachana na huu mkosi japo kwa kudhalilishwa Nchi nzima
 
She didn't act smart here, kwa uanaharakati wake hapa kaharibu. May be anapata maslahi ya nguvu huko, otherwise anaharibu career yake.
 
Anapokewa nanani? Matangazo hatujasikia tusubiri tangazo sijui atakuwa m..
 
Yai viza ni viza tu....
House girl atabaki hause gel hata aolewe na waziri...
 
Back
Top Bottom