Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701
Ni binti anayefukizia cheo UWTNi nani huyu hapa nchini?
Joyce Kiria ni Mwanamke wa Albert Bashite na huu ni mwezi wa pili sasa na wala sio wa Kileo.Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701
Ni funzo kwa wanaume wengine ukiona mwanamke anaisaliti ndoa kwa ajili yako jua na wewe yatakukuta!Karma is real
Jina lako tu shida mgonjwa mtambuka ..anapokewa nanani tujuzeni basi?Leo mtanukuu hadi vifungu vya Biblia. Hili ni pigo takatifu kwa ufipa.