Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

Nakufananisha au?Nadhani Dawomenizer atakuwa ni kakaako
ZD umenifanya ni-login, mwache dogo aendeleze libeneke si unajua siku hizi nimeshazeeka inabidi niwaachie vijana hizi titles, Kiukweli itabidi nibadili ID kuakisi my new status.
 
Tunashukuru kwa michango yenu wale wote waliyotupa pongezi na wale wote waliyoponda. ila kikubwa zaidi ni kumshukuru mungu kwa kila jambo maana yeye ndiye mkuu wa yote. ni kweli mungu ametubariki mtoto wa kiume. mungu awabariki sana jp njema.
 
Hongera mkuu kwa kupata kidume-nikitumia maneno ya habari leo walivyoripoti mtoto wa Dr.laa na Josephine!!

Naomba nikukumbushe kutumia herufi kubwa unapoanza kuliandika jina la Mungu kama unamkusudia Mungu wa mbinguni!!
 
@ kilewo hongera sana kamanda umeonyesha ukomavu na busara kutolumbana kwa masuala ambayo mwisho wa siku hayana tija kwa Taifa , Komaa kutafuta tanzania mpya mtoto akikua akute mfumo uliotulia
Unaowezesha watoto wa maskini na tajiri kufurahia rasilimali za taifa .
 
Hongera mkuu kwa kupata kidume-nikitumia maneno ya habari leo walivyoripoti mtoto wa Dr.laa na Josephine!!

Naomba nikukumbushe kutumia herufi kubwa unapoanza kuliandika jina la Mungu kama unamkusudia Mungu wa mbinguni!!

nitumie kamanda
 
Tunashukuru kwa michango yenu wale wote waliyotupa pongezi na wale wote waliyoponda. ila kikubwa zaidi ni kumshukuru mungu kwa kila jambo maana yeye ndiye mkuu wa yote. ni kweli mungu ametubariki mtoto wa kiume. mungu awabariki sana jp njema.

Kweli vijana wa chadema ni wakomavu wa kila jambo, maana ingalikuwa ni mtu mwingine hapa angeendeleza majibizano yasiyo na msingi ila mkuu KILEWO umejibu kwakifupi na kila mtu amekuelewa.tunawatakieni maisha yenye amani na furaha tele na katika harakati zako za ukomnozi wa taifa tunaona na tunasikia jitihada zako.
 
Tunashukuru kwa michango yenu wale wote waliyotupa pongezi na wale wote waliyoponda. ila kikubwa zaidi ni kumshukuru mungu kwa kila jambo maana yeye ndiye mkuu wa yote. ni kweli mungu ametubariki mtoto wa kiume. mungu awabariki sana jp njema.

mmmh hongereni
 
kilewo jr.jpgHuyo ndiye Lincon na baba yake.
[h=3]....CONGRATULATIONS....JOYCE KIRIA...![/h]
Starring Bongo Movie na Mtangazaji wa vipindi vya Bongo Movie na Wanawake Live vinavyooneshwa na ting'a kali No 1 kwa vijana aka 5-EATV,Joyce Kiria kwa sasa ruksa kumuita Mama Lincon,baada ya kujifungua mtoto wa kiume,siku ya Jumamosi tarehe 11 June,2011 pande za Marie Stopes Clinic iliyopo Mwenge-DSM Newly Born-Baby Boy anakwenda kwa jina la Lincon Henry Kilewo....Congrats
 
Hongera kaka. Lincon amekua sana... km mtoto wa miezi mi4 vile! Na umetoa copy kbs! Hapo Joyce hajachakachua kabs!
 
Back
Top Bottom