Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Si aende kwa Bashite wakalambane na kupigana tu vidole arudi kwake?
Sipati jinsi Joyce anavyotanua miguu na kugumia. Lkn huenda hiyo post si yake Bali ameingiliwa. Kwa umakini alionao Kiria sitegemei aandike hadharan hayo yaliyoandikwa. Amejijengea heshima kubwa hawezi kuiharibu kirahisi hivyo
 
Kwani huko aliko hawapo wenye uwezo wa kumpa hiyo dyudyu?
 
Halafu usishangae huyu akateuliwa kuwa mheshimiwa sana, na tena sio jambo la kushangaza 2020 ukimuona bungeni kupitia viti maalumu akiwakilisha Kinondoni.
Watu kama hawa ndio target na mtaji wa CCM na hapa ndio PolePole anajisifu kuongeza idadi ya mazezeta yanayounga mkono jitihada za upotevu wa 1.5 tr.
 
Mkuu hauwezi kumsaidia aisee?
Maana itakua alikua hakunwi mwezi mzima so ana hamu sana
Mambo hayo yana raha ukiwa na mwanamke mwenye akili. Huyu anaonekana ni mjinga wa kutupwa. Haya sasa, mitandao imwoe.
Aisee,
31433214_1719054714852880_5165148642494906368_n.jpg
 
Utimamu, hekima na elimu ndivyo vitamkomboa mwanamke, huyo mama alishajipoteleaga mwenyewe hapo yupo kwenye soul conflict anagombana na roho yake mwenyewe
 
Ukimwangalia superwoman vizur utaona kutaka kwake wadhamini kumefeli mpka badala ya brazillian hair amefunga tambaa kichwan[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama ushakubali kwa kusema "Sawa" means umekubaliana na mimi kua niko sahihi. Hii ulionikosoa kua najinasibisha haikutakiwa kuwepo tena. Mi nimemkopi Joyce Kiria kama alivyoandika yeye, ndio maana hata kwa comment sikutaka kuweka maneno mengi ili nisije kukosea nikamaanisha vingine.

Otherwise, tuko pamoja sana.
Nimekuelewa sana ndugu yangu Shark uwe na wakati mwema sana wewe na wapendwa wako.....

PEACE....
 
Amembeba wapi wakati ndio anamtangazia mabaya mwenzie?
huyo ana asili ya ulopokaji sema akipewa somo kuhusu hilo na akitulia yupo vizuri sema ulopokaji tu mambo ya ndani anayamwaga nje
 
Back
Top Bottom