Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Samahani wakuu kama nimetoka nje ya mada lakini nikiona kijana wa kiume ana type 'DYU DYU ' huwa nashikwa na kigugumizi kumuelewa........

NB
Samahani mtoa mada
Umefungua ile Picha (Screenshot) pale Juu mpaka chini lakini? Hiki ndicho alichoandika Joyce Kiria so nami nimeleta kama alivyoandika yeye. Sitaki kuandika kitu tofauti na yeye ili isije ikawa kamaanisha vingine nami nikapotosha.

Rudi tena ukasome alichoandika kisha uje tena, yawezekana umekurupuka tu kuweka hii comment
 
Sawa ndugu lakini na wewe usipende kujinasibisha sana na hivyo vimaneno vya kipuuzi maana wewe ni mtu makini sana hapa jukwaani.....
 
1. Ana kiu ya Dyu dyu hadi anapoteza ufahamu.
2. Anahisi ananguvu kubwa ya kumdhibiti mwanaume.
3. Palipo na maslahi yupo tayari kuuza utu wake. Hii inaonesha chama hakina mtu ila mtu ana chama.
4. Anafanya mambo yaliyostahili kufanywa na mabinti ambao ndiyo akili zao zinapevuka. Sioni sasa hata ni vipi anaofanya nao vipindi wanamheshimu kwa udhaifu huu anaouonesha wazi.

Ni haki yake kuchgua chm akipendacho na lakini si kwa sababu dhaifu kama hizi.
Tunayo safari ndefu sana kwa mtindo huu.
 
Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!

by the law of negation,na wewe umeshikiliwa akili na chattle na polepole...wote mmeshikiliwa akili na fulani...wote ni part ya tatizo
 
Sawa ndugu lakini na wewe usipende kujinasibisha sana na hivyo vimaneno vya kipuuzi maana wewe ni mtu makini sana hapa jukwaani.....
Sasa kama ushakubali kwa kusema "Sawa" means umekubaliana na mimi kua niko sahihi. Hii ulionikosoa kua najinasibisha haikutakiwa kuwepo tena. Mi nimemkopi Joyce Kiria kama alivyoandika yeye, ndio maana hata kwa comment sikutaka kuweka maneno mengi ili nisije kukosea nikamaanisha vingine.

Otherwise, tuko pamoja sana.
 
Huyu mwanamke hana akili kabisa,asitake kutafuta umaarufu usio kuwa na msingi;kama alikuwa hapati tendo la ndoa kwa nn haku report for the time being?
Kama aliweza vumilia hilo kwa nn asimvulie mshikaji wake ambaye kaishiwa hela?(au ndo kauli mbiu ya supper woman?)
Kweli Kabisa. Angeshitakia jwa DAB maana alikwenda kule na akajipiga selfie. Kule angrpata suluhisho hata jwa kupewa fimbo ya msaada kama anajisikia kiu sana ya dyudyu.
 
Yale yale ya mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe.. Sasa anavyororoja hivi, hata hao potential suitors si atakuwa anawakimbiza..?
hahahhaaaaaaa shemeji yuko wapi paloma namsaka ile mbaya
 
Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Jitahidi kuzuia mihemko yako isiyo na faida,Mwanamke hakufunzwa huropoka kunyimwa tango mtandaoni nawe unaona ametoa hoja,Jaribu kujiheshimu
 
Jitahidi kuzuia mihemko yako isiyo na faida,Mwanamke hakufunzwa huropoka kunyimwa tango mtandaoni nawe unaona ametoa hoja,Jaribu kujiheshimu

Sasa huyo J.Kiria ana afadhali kimaadili mara 10 ya Mangi Kimambi ambaye kawashikia akili Viongozi wako wote wa chadema!
 
Kileo ni kidume aisee, kakaza balaa kamnyoosha mama adi K inapwita,,,genye zimemshika anatapa tapa.
SHENZI SANA, MWANAUME LAZIMA UONESHE UNA MSIMAMAMO SIO KUYUMBISHWA HOVYOHOVYO, ALISHAKUSOMA KWAMBA UKIPATA PESA ZAIDI UTAKUWA KAUZU ZAIDI, KAMA UMEKUBALI KUOLEWA KUBALI KUWA MWANAMKE OTHERWISE UNAWEZA KUOWA PIA, WANAUME WA KUOLEWA MBONA WAPO WENGI
 
Back
Top Bottom