Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Aisee,
31433214_1719054714852880_5165148642494906368_n.jpg
What is wrong with Joyce Kiria? Anafikiria anamkomoa nani?
 
Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Nadiriki kusema hii comment yako ni ya kijinga kuliko hata ujinga wenyewe.

Hivi kabla ya kuiruhusu ulijaribu kuangalia hata uhusiano wa kimantiki kati ya hiki ulichokiandika na mada yenyewe?
 
eti anafundisha wadada kua super women.
ila hapa tutashangilia kwa itikadi za vyama lkn Joyce anakosea sana. Haya sio maadili ya mwanamke wa kiafrika.
Itakua waliachana wakati bado anampenda jamaa,
Huyu dada mi namuonaga kama Faiza Ally aliekua wa Sugu,
Tofauti yao ndogo sana
 
Na hawa ndo aina ya wanachama mzee Polepole anajivunia "kuvuna" kutoka upinzani. Mtu anadeclare wazi kafuata fursa. Harafu haya mambo ya kubaniwa gegedo inakuwaje anaweka hadharani?
Watu kama Joyce wapo wengi sana huko ndani ya ccm kuna wengine ni ndugu zangu kabisa na huwa wananichana live wanasema "dogo ukiikataa ccm basi wewe hutaki maisha shauri lako" huwa naskia uchungu sana.

mwaka jana mwanzoni kuna rafiki zangu wawili walikuwa wanafanya Masters pale UDOM sasa walivyoona imebaki miezi michache kumaliza wakaamua kujiunga na CCM na kuwa wanachama rasmi huku wakikabidhiwa kadi. Yote hiyo walifanya hili wasije wakataabika tena huku mitaani wanaamini ukishakuwa ccm tu ni rahisi kupata kazi.

Kiukweli inaskitisha sana na yote haya yanesababishwa na CCM. CCM wame wa impoverished watanzania hili wawatawale vizuri baada ya kugundua kuwa hawapendwi hata kidogo, watu wanaitumikia ccm wala sio kuipenda kwa sera zake na misingi vizuri ya kiitikadi kama ilivyopaswa.

Binafsi naichukia sana ccm ndio sababu kuu ya taifa hili na watu wake kukosa maadili na uzalendo.
 
Samahani wakuu kama nimetoka nje ya mada lakini nikiona kijana wa kiume ana type 'DYU DYU ' huwa nashikwa na kigugumizi kumuelewa........

NB
Samahani mtoa mada
 
...mwaka jana mwanzoni kuna rafiki zangu wawili walikuwa wanafanya Masters pale UDOM sasa walivyoona imebaki miezi michache kumaliza wakaamua kujiunga na CCM. Yote hiyo walifanya hili wasije wakataabika tena huku mitaani wanaamini ukishakuwa ccm tu ni rahisi kupata kazi.

Jamaa zako walishapata hizo kazi?
 
Back
Top Bottom