Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Huyu dada bado anampenda kijana wa pipoz aliekunywa maji ya bendera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mwanamke mwenye akili atazungumza hayo mambo ya kutombwa hadharani?!
What is wrong with Joyce Kiria? Anafikiria anamkomoa nani?Aisee,
![]()
DJ Nelly Nkongo maji yalimfika shingon ikabid amuache huyu mama. Kamanda hakujua akaingia kichwa kichwa kubeba jiko lililomshinda DJ nellyKatika watu waliokosea mwanamke wa kuoa ni huyu jamaa sijui ilikuwa ndoa ya kansani ile
Nadhani atakuwa anaumwa, sio bureHuyu dada alijijengea heshima sana,anajiharibia yeye mwenyewe.
eti anafundisha wadada kua super women.What is wrong with Joyce Kiria? Anafikiria anamkomoa nani?
Nadiriki kusema hii comment yako ni ya kijinga kuliko hata ujinga wenyewe.Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Itakua waliachana wakati bado anampenda jamaa,eti anafundisha wadada kua super women.
ila hapa tutashangilia kwa itikadi za vyama lkn Joyce anakosea sana. Haya sio maadili ya mwanamke wa kiafrika.
kabisaaa. Ila watoto wakikua wakayaona haya mtandaoni utakuja kuwaambia nn!?Itakua waliachana wakati bado anampenda jamaa,
Huyu dada mi namuonaga kama Faiza Ally aliekua wa Sugu,
Tofauti yao ndogo sana
Alianza vizuri,akajijengea heshima,Now amejiharibia mwenyewe,..sasa najiuliza kama ndo anajiona mjanja au la.Nadhani atakuwa anaumwa, sio bure
Watu kama Joyce wapo wengi sana huko ndani ya ccm kuna wengine ni ndugu zangu kabisa na huwa wananichana live wanasema "dogo ukiikataa ccm basi wewe hutaki maisha shauri lako" huwa naskia uchungu sana.Na hawa ndo aina ya wanachama mzee Polepole anajivunia "kuvuna" kutoka upinzani. Mtu anadeclare wazi kafuata fursa. Harafu haya mambo ya kubaniwa gegedo inakuwaje anaweka hadharani?
...mwaka jana mwanzoni kuna rafiki zangu wawili walikuwa wanafanya Masters pale UDOM sasa walivyoona imebaki miezi michache kumaliza wakaamua kujiunga na CCM. Yote hiyo walifanya hili wasije wakataabika tena huku mitaani wanaamini ukishakuwa ccm tu ni rahisi kupata kazi.