Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Yaani hapa hata "Prospected Husband" lazima ale kona
 
Aisee,
31433214_1719054714852880_5165148642494906368_n.jpg
Huyu mwanamke hana akili kabisa,asitake kutafuta umaarufu usio kuwa na msingi;kama alikuwa hapati tendo la ndoa kwa nn haku report for the time being?
Kama aliweza vumilia hilo kwa nn asimvulie mshikaji wake ambaye kaishiwa hela?(au ndo kauli mbiu ya supper woman?)
 
Wanaccm mtambue aina ya watu wanaowakimbilia huko.

Hakuna cha kuunga juhudi mkono juhudi za rais wala nini,wamekuja huko ili biashara zao ziwanyookee.

Wakiwa nje ya CCM wanasumbuliwa,wamekimbilia huko ili wafanye biashara kirahisi zaidi.

CCM ya Polepole hoyeee!!
 
Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Yani we ccm unafurahia huu uchafu! Kuna tofauti gani na video ya akina Nandy?
 
Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Mange kawajambisha na kuwarukisha kichura maboss wako ati? Wewe ulishawahi kusimamisha tz hata kwa lisaa? Mange mwezi mzima watu hawalali wanawaza kuongeza magari ya washawasha, wacha hizo mmenyooka buanaaaaa
 
Na hawa ndo aina ya wanachama mzee Polepole anajivunia "kuvuna" kutoka upinzani. Mtu anadeclare wazi kafuata fursa. Harafu haya mambo ya kubaniwa gegedo inakuwaje anaweka hadharani?
 
Back
Top Bottom