Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefungua ile Picha (Screenshot) pale Juu mpaka chini lakini? Hiki ndicho alichoandika Joyce Kiria so nami nimeleta kama alivyoandika yeye. Sitaki kuandika kitu tofauti na yeye ili isije ikawa kamaanisha vingine nami nikapotosha.Samahani wakuu kama nimetoka nje ya mada lakini nikiona kijana wa kiume ana type 'DYU DYU ' huwa nashikwa na kigugumizi kumuelewa........
NB
Samahani mtoa mada
Mpaka nawasiliana na mmoja mwezi wa pili mwaka huu aliniambia kuwa yuko Simiyu anafanya internship kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa.Jamaa zako walishapata hizo kazi?
Sawa ndugu lakini na wewe usipende kujinasibisha sana na hivyo vimaneno vya kipuuzi maana wewe ni mtu makini sana hapa jukwaani.....Umefungua ile Picha (Screenshot) pale Juu mpaka chini lakini? Hiki ndicho alichoandika Joyce Kiria so nami nimeleta kama alivyoandika yeye. Sitaki kuandika kitu tofauti na yeye ili isije ikawa kamaanisha vingine nami nikapotosha.
Rudi tena ukasome alichoandika kisha uje tena, yawezekana umekurupuka tu kuweka hii comment
aje tu dyu dyu ipo kwa ajili yake masaa 24\7Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Mawenge huyoSasa mwanamke mwenye akili atazungumza hayo mambo ya kutombwa hadharani?!
HahahahahJoyce Kiria haitajiki ndani ya CCM.
Akomae huko huko kwa mzee wa "fly to KIA"
Sasa kama ushakubali kwa kusema "Sawa" means umekubaliana na mimi kua niko sahihi. Hii ulionikosoa kua najinasibisha haikutakiwa kuwepo tena. Mi nimemkopi Joyce Kiria kama alivyoandika yeye, ndio maana hata kwa comment sikutaka kuweka maneno mengi ili nisije kukosea nikamaanisha vingine.Sawa ndugu lakini na wewe usipende kujinasibisha sana na hivyo vimaneno vya kipuuzi maana wewe ni mtu makini sana hapa jukwaani.....
Kweli Kabisa. Angeshitakia jwa DAB maana alikwenda kule na akajipiga selfie. Kule angrpata suluhisho hata jwa kupewa fimbo ya msaada kama anajisikia kiu sana ya dyudyu.Huyu mwanamke hana akili kabisa,asitake kutafuta umaarufu usio kuwa na msingi;kama alikuwa hapati tendo la ndoa kwa nn haku report for the time being?
Kama aliweza vumilia hilo kwa nn asimvulie mshikaji wake ambaye kaishiwa hela?(au ndo kauli mbiu ya supper woman?)
hahahhaaaaaaa shemeji yuko wapi paloma namsaka ile mbayaYale yale ya mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe.. Sasa anavyororoja hivi, hata hao potential suitors si atakuwa anawakimbiza..?
Jitahidi kuzuia mihemko yako isiyo na faida,Mwanamke hakufunzwa huropoka kunyimwa tango mtandaoni nawe unaona ametoa hoja,Jaribu kujiheshimuHahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Hawa wengine hutuponza na siye tuliofunzwa adabuSasa mwanamke mwenye akili atazungumza hayo mambo ya kutombwa hadharani?!
Jitahidi kuzuia mihemko yako isiyo na faida,Mwanamke hakufunzwa huropoka kunyimwa tango mtandaoni nawe unaona ametoa hoja,Jaribu kujiheshimu
SHENZI SANA, MWANAUME LAZIMA UONESHE UNA MSIMAMAMO SIO KUYUMBISHWA HOVYOHOVYO, ALISHAKUSOMA KWAMBA UKIPATA PESA ZAIDI UTAKUWA KAUZU ZAIDI, KAMA UMEKUBALI KUOLEWA KUBALI KUWA MWANAMKE OTHERWISE UNAWEZA KUOWA PIA, WANAUME WA KUOLEWA MBONA WAPO WENGI
Tena wakati anapambana na hali yake aangalie asitikise hali ya mwenziweNdio apambane na hali yake
Ndio uhalisia hata hivyo, kama ukiwa mpinzani usijihusishe na siasaTunatakiwa tujisahihishe kama nchi maana watoto wetu wanajengwa kwamba "ukiwa CCM wewe mambo yako super na ukiwa upinzani mambo yako yanaenda kombo hasa unapokuwa na shughuli zako".