Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454

Kwani tangia lini amewahi kudumu katika Ndoa na wote aliokuwa anatiririka na anaserereka nao Kibaiolojia Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…