Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454
Sasa hivi Elimu yake ni ya ngazi gani?Afu kumbuka elimu yake huyo ilikua ni darasa la 7 na alikua beki 3 kabla
Still darasa la 7.Sasa hivi Elimu yake ni ya ngazi gani?
Kaka tupe mrejesho wa YouTube vipi seduce na zilipendwa nani anaongoza mpk dkk hii.....sorry kwa kutoka nje ya madaMke kujifanya unajua kila kitu ni shida