brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Mwanaharakati na mtangazaji wa kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kufurahishwa na mumewe ikiwa ni miezi sita sasa imepita tangu atangaze mitandaoni kuwa mumewe haudumii familia yake na majukumu yote ya kulea watoto ameachiwa yeye.
Kwanza nakuomba radhi kwa kushare hii ulinikataza nisiposti… ulivyoniambia umelipa hii ela shuleni sikuamini. Tena siku uliyotuletea chakula ukanipa na ela nilichanganyikiwa machozi ya furaha pamoja na kuniomba nisiposti lakini ninafikiri ni vyema niendeleze elimu kwamba INAWEZEKANA KUBADILIKA! Dunia wakajua wewe ni baba bora sasa! Umeanza kuchukua WAJIBU WAKO Asante sana kwa kusikia kilio changu! I am emotional.
Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii kubwa sana ya kulipa sehemu ya ada ya watoto wetu na kuwaletea chakula! We love you so much [emoji177] tunakuombea ufanikiwe zaidi na utukumbuke kama ivi[emoji120][emoji120][emoji120]
Kinababa mtaniwia radhi lakini nasisitiza kwamba, hii ni awareness niliamua kufanya kwa wanaNdoa wengi kuna mengi ya kujifunza! Mabaya yangu ya kubwatabwata niachie mwenyewe maana mimi nipo kazini napigana na UKATILI WA KIJINSIA, na mazuri yangu ya kuwakumbusha wababa kuwajibika muyachukue kwa faida ya familia zetu! Na HESHIMA yenu pia.
Naimani wababa wengi sana wamejirekebisha na maisha yanaenda kwa Amani… nami nawaombea kwa dhati ya moyo wangu mfanikiwe katika kazi zenu ili mzidi kutenda mema kwa familia zenu!!! NAWAPENDA [emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]