Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama lengo lilikuwa kumuita Joyce beki tatu huoni umemdhalilisha mtu hasiye husika dogo Gadiel Michael?Huyu gadiel Michael mbaga Hana akili!
Huwa nina 10% za kumuamini mwanamke katika maisha ya kila siku.Niliwahi ambiwa na babu kuwa mwanamke si wa kuamini akanipa kisa flani hivi; kuna jamaa alikua akisumbuliwa na mbwa wa jirani yule mbwa alikua na tabia ya kuua vifaranga vya kuku sasa akawa anamwinda ili ikiwezekana amuue, siku moja kukiwa na kigiza akasikia kitu kinatikisa majani ya mahindi kuja kwake jamaa alipo sikia mahindi yanatikisika akachukua rungu akampiga nalo akijua ni mbwa wa jirani kumbe ni mtoto wa huyo jirani na akafa palepale.
Alipogundua kuwa alichopiga si mbwa bali ni mtoto wa jirani akakimbia kwenda kumwambia mkewe tukio, basi wakakubaliana wafiche maiti ili ikifika usiku sana wakautupe mbali ili isijulika mtoto kaenda wapi, wazazi wa yule mtoto walimtafuta mtoto wao bila mafanikio.
Ilipofika usiku wa manane wakakubaliana wakamzike mtoto mbali huko vichakani, walimzika wakarudi maisha yakaendelea. Kwa bahati nzuri jamaa akaenda akamsimulia ndugu yake kilichompata nae ndugu yake akamuuliza kama mkewe anajua nae akamkubalia huyo ndugu yake akamwambia kama Mke anajua basi afanye jitihada usiku tena akahamuamishe huyo marehemu akamzike sehemu nyingine mbali anayojua mwenyewe Kwa sababu mwanamke si wa kuamini.
Na jamaa akafanya alivyoelekezwa na ndugu yake, siku zikapita nyingi baada ya tukio siku moja kukatokea ugomvi jamaa akampiga mkewe mwanamke akakimbilia polisi kusimulia kila kitu.
Polisi wakamkamata jamaa na mwanamke akawapeleka hadi walipomzika huyo mtoto lakini hawakumpata.
Huyu kaambiwa asipost yeye mbiyo kupost.
Eti ni kweli mmekatazwa kuzungumzia utekaji?Kama karudi ni vyema lakini chadema muwe na semina za kuwaeleza wabunge wenu kujifunza kutunza familia zao hasa wake zao
No 3 kushotoAnacheza namba ngapi huyo beki?
Wewe ni mchagga dadawe bana pesa tamu kwa kila mtu si wachaga pekee, akikosea mmoja/wawili it doesn't mean wote wakosefu, mi nawafahamu hao wachaga wastaarabu na wenye utu kunizidi hata mimi nsiye mchaga hahaa
Hili ni LA chadema ila ndugu yangu kwa swala LA wanafake we acha tuu ni Pasua kichwaKama karudi ni vyema lakini chadema muwe na semina za kuwaeleza wabunge wenu kujifunza kutunza familia zao hasa wake zao
Anaweza akasema pengine bado ile ngozi asili bado ipo, na ndiyo inayomrudisha!Kama alifikia hatua ya kusema hapigwi hata mashine,huyu mwanamke kuna siku atakuja kusema mumewe ana kibamia....huyu dada ana waaibisha sana mabeki tatu wenzake
mimi si mchaga kakaWewe ni mchagga dada
mimi si mchaga kaka
kweli mkuuuHehehehehe
kweli mkuuu
ni kule nyanda za juu kusiniKabila gan ww?
Na Mungu atamsaidia.Kilewo amejibebea zigo lake la misumari, kila mtu ana zigo lake, ila zigo la jamaa linamchoma mbaya.