financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
hahaa, ntaendaaaHuendi mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa, ntaendaaaHuendi mbinguni
Ngoja nilipigie zigo langu simu nachomwa sana mm na bwana kilewoKilewo amejibebea zigo lake la misumari, kila mtu ana zigo lake, ila zigo la jamaa linamchoma mbaya.
Hahahaha, mkuu pole.Ngoja nilipigie zigo langu simu nachomwa sana mm na bwana kilewo
aiseeHa ha ha ha hatari
Hahahahaaa! Mwanawake ishi naye kwa busara. Anahitaji kusifiwa na kudanganywa, ukijidai wewe unaishi naye kwa heshima shauri yako
OohMwanaharakati na mtangazaji wa kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kufurahishwa na mumewe ikiwa ni miezi sita sasa imepita tangu atangaze mitandaoni kuwa mumewe haudumii familia yake na majukumu yote ya kulea watoto ameachiwa yeye.
Kwanza nakuomba radhi kwa kushare hii ulinikataza nisiposti… ulivyoniambia umelipa hii ela shuleni sikuamini. Tena siku uliyotuletea chakula ukanipa na ela nilichanganyikiwa machozi ya furaha pamoja na kuniomba nisiposti lakini ninafikiri ni vyema niendeleze elimu kwamba INAWEZEKANA KUBADILIKA! Dunia wakajua wewe ni baba bora sasa! Umeanza kuchukua WAJIBU WAKO Asante sana kwa kusikia kilio changu! I am emotional.
Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii kubwa sana ya kulipa sehemu ya ada ya watoto wetu na kuwaletea chakula! We love you so much [emoji177] tunakuombea ufanikiwe zaidi na utukumbuke kama ivi[emoji120][emoji120][emoji120]
Kinababa mtaniwia radhi lakini nasisitiza kwamba, hii ni awareness niliamua kufanya kwa wanaNdoa wengi kuna mengi ya kujifunza! Mabaya yangu ya kubwatabwata niachie mwenyewe maana mimi nipo kazini napigana na UKATILI WA KIJINSIA, na mazuri yangu ya kuwakumbusha wababa kuwajibika muyachukue kwa faida ya familia zetu! Na HESHIMA yenu pia.
Naimani wababa wengi sana wamejirekebisha na maisha yanaenda kwa Amani… nami nawaombea kwa dhati ya moyo wangu mfanikiwe katika kazi zenu ili mzidi kutenda mema kwa familia zenu!!! NAWAPENDA [emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 904494