Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Mpaka ana mwananya, wanawake mko wapi, jamaa si mtu wa mitandao kama Joyce, Matusi yote anameza. Mtapata wapi mwanaume kama huyu, fursa kwenu
Ebana huyu ndo anayempelekesha osigelo wetu? Ngoja nimzawadie na kamchepuko kangu ka hiari aendelee kuutatiza moyo wa mbwabwaji wa kike
 
Ningeshangaa sana nisingekuona hapa. Maana wewe na ubuyu ni sawa na Jiwe na Bashite.
Umenifananisha babu. Mimi napatikana kwenye nyuzi zinazohusu maadili.
 
Mpaka ana mwananya, wanawake mko wapi, jamaa si mtu wa mitandao kama Joyce, Matusi yote anameza. Mtapata wapi mwanaume kama huyu, fursa kwenu
Kileo ni handsome hafu Joyce akajifanya kumuudhi sasa analia lia mtandaoni
 
Halafu leo ijumaa usinichekeshe hivyo🀣🀣
Kwani ukicheka Ijumaa unapatwa na mkosi? Yani umenikatisha tamaa maana nlitaka nikuchekeshe mpaka ujue ni kwanini ukila mayai ya kuchemsha unaachia ushuzi wenye harufu kama perfume ya osigelo wetu wa leo
 
bibiiiii.... skamuuuu.. babu hajamboooooo??? msalimieeeeπŸ˜›πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€
 
Kazidi mno huyo Joyce Kuwa na kipato hakukufanyi uwe kidume Baba watoto ananunua chakula viatu na hela anakupa then waenda mtangaza mtandaoni ka si dharau za ajabu nini. Acha anyooshwe kaharibu family yake
Mwanamke mpumbafu uharibu nyumba kwa mikono yake mwenyewe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…