Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Kwako wewe Joyce kiria,
Salaam!
Pole sana sana kwa maumivu unayopitia ambayo ukweli yanauma sana.
Maumivu yako yamezidi zaid kwasabb umeyasababisha ww mwenyewe, na hata watu humu jf tulipokushauri ulienda insta ukatuandikia gazeti kuwa hutaki ushauri wetu.

Acha nikushauri japo ulisha tukataza. Wahenga walisesha sema "uungwana ni vitendo". Acha sasa nijaribu kuwa muungwana.

Sihitaj kurudia ni wapi ulipo kosa kwasabb unatakiwa fika makosa yako. Nataka nikuambie tu nini cha kufanya ili kuvuka anapopita. Kutatua swala lako kuna njia mbili tuu nazo ni

a) ama ujishushe (sio kwenye social media) bali physically uende kwa wekwezo ukawaangukie ili uombe waongee na mumeo akubali kurudi nyumban. Hapa inabidi ukubali kuwa ulikosea tena wala usitaje yale makosa ya mumeo. Kiri kwamba ulikosa hekima na sasa umejitafakar umeona kuwa huna Budi kumuangukia mumeo na wakwe zako ili kurudisha amani na furaha ndani ya nyumba yako. Kuomba samahan hakuna kufanya ww kuwa weak bali kutakufanya uwe hero. Kichaga beba sale na ukoka ukawaangukie kwa kumaanisha.

B) hii ni njia nzuri as utapata amani lkn itakufanya uwe unajihukumu kwa kuwa selfish. Hapa tumia theory ya power of letting it go. Mwache aende wala usimuwaze kbs. Hata umkute wapi na nani ww unachukulia poa tuu. Hii inahitaj zaid kusema na moyo wako kuliko kusema na mtu. Yaan ongea na moyo hadi moyo ukubaliane na akili yako kudelete folder zake za kimahaba, abaki tuu kama mzazi mwenzio.

Nakupongeza sana kwa kuamua kumrudia Mungu najua atakupa hekima ya kupita hapa.
 
Msongo anajitakia mwenyewe maana wadau wanamchamba vibaya mno.
Anashindwa nini kumove on aendelee na maisha yake? Kama kweli anampenda Kileo angekaa kimya wakasolve mambo yao kimya kimya.
Na hata kama Kileo anataka kurudi kwa mke wake sidhani kama ataweza tena maana kila kitu chake kipo exposed, hakuna mwanaume anayevumilia huo ujinga.
Wanaume nao ni binadamu huwa wana samehe. Kosa kubwa la mitandaoni ni kwamba hakuna anaye mshauri zaid ya kumchamba which is very bad.
Hakuna binadamu asiye kosea ila muungwana huwa hamnyooshei mwenzie kidole bali hushauri tu pale inapobidi.
Ushauri wako kwake kukaa na kisolve ishu zao kimya ni mzur sana.

Wanaume wote hupenda mwanamke submissive, na humble. Kosa la Joyce siyo kubwa sana kwamba halisameheki no way. Atasamrhewa akiamua kutubu
 
gfsonwin hapo juu.... nakuona unanigongea like kimyakimya...

Hebu kuja PM fasta nikuambie kitu changu
 
Wanaume nao ni binadamu huwa wana samehe. Kosa kubwa la mitandaoni ni kwamba hakuna anaye mshauri zaid ya kumchamba which is very bad.
Hakuna binadamu asiye kosea ila muungwana huwa hamnyooshei mwenzie kidole bali hushauri tu pale inapobidi.
Ushauri wako kwake kukaa na kisolve ishu zao kimya ni mzur sana.

Wanaume wote hupenda mwanamke submissive, na humble. Kosa la Joyce siyo kubwa sana kwamba halisameheki no way. Atasamrhewa akiamua kutubu
Unavyomuana ana dalili ya kutubu? Yaani drama zote za ndoa yake anazitengeneza mwenyewe. Hana akili namuonea huruma
 
Kwako wewe Joyce kiria,
Salaam!
Pole sana sana kwa maumivu unayopitia ambayo ukweli yanauma sana.
Maumivu yako yamezidi zaid kwasabb umeyasababisha ww mwenyewe, na hata watu humu jf tulipokushauri ulienda insta ukatuandikia gazeti kuwa hutaki ushauri wetu.

Acha nikushauri japo ulisha tukataza. Wahenga walisesha sema "uungwana ni vitendo". Acha sasa nijaribu kuwa muungwana.

Sihitaj kurudia ni wapi ulipo kosa kwasabb unatakiwa fika makosa yako. Nataka nikuambie tu nini cha kufanya ili kuvuka anapopita. Kutatua swala lako kuna njia mbili tuu nazo ni

a) ama ujishushe (sio kwenye social media) bali physically uende kwa wekwezo ukawaangukie ili uombe waongee na mumeo akubali kurudi nyumban. Hapa inabidi ukubali kuwa ulikosea tena wala usitaje yale makosa ya mumeo. Kiri kwamba ulikosa hekima na sasa umejitafakar umeona kuwa huna Budi kumuangukia mumeo na wakwe zako ili kurudisha amani na furaha ndani ya nyumba yako. Kuomba samahan hakuna kufanya ww kuwa weak bali kutakufanya uwe hero. Kichaga beba sale na ukoka ukawaangukie kwa kumaanisha.

B) hii ni njia nzuri as utapata amani lkn itakufanya uwe unajihukumu kwa kuwa selfish. Hapa tumia theory ya power of letting it go. Mwache aende wala usimuwaze kbs. Hata umkute wapi na nani ww unachukulia poa tuu. Hii inahitaj zaid kusema na moyo wako kuliko kusema na mtu. Yaan ongea na moyo hadi moyo ukubaliane na akili yako kudelete folder zake za kimahaba, abaki tuu kama mzazi mwenzio.

Nakupongeza sana kwa kuamua kumrudia Mungu najua atakupa hekima ya kupita hapa.
Ulipaswa kuwa mama mchungaji sema tu ulikosa bahati ya kuolewa na mimi mchungaji mkuu nisiyejaribiwa wala kupangiwa
 
Very very touching
Kwako Kilewo wangu,

Kwanza kabisa nakushukuru sana kwa uwepo wako katika Maisha yangu, UPENDO wako wa awali ulinifanya nione hakuna kama wewe hapa duniani. Ulinipenda, ulinidekeza, ulinijali, ulilinda hisia zangu, uliniaminisha hutakuja kunisaliti, uliniaminisha wewe ni Mume bora na Baba bora na Kiongozi bora. Nikakupenda sana, nikajitoa sana, nikakuheshimu na kukupa Thamani yako yote.
.
Nakushukurua sana kwa Baraka ya Watoto wazuri Lincon & Linston. Kipindi cha Miaka miwili bila Amani kwenye Ndoa yetu hakika wamekuwa Faraja yangu Kubwa sana. Japo muda mwingi nakuwa nimezubaa kwa mawazo, Watoto hujua na kuniuliza "mama mbona unanuna?" Huyo ni Lincon! Basi natabasamu kuwaridhisha wanangu japo Moyo wangu una MAUMIVU makali sana ambayo baba yao kanijeruhi.
.
Mume wangu umeisambaratisha familia yetu bila huruma, umetuacha hapa kama wakiwa. Ujasiri wa kunipiga kote kibao ni huyo MBWA, unafanya biashara nyumbani huleti hata shilingi kwa ajili ya huyo shetani, Huo ndo Uongozi Kweli Mume wangu? huo ndo UKAMANDA Mume wangu?
.
Tulikukosea nini Mume wangu? Unajimilikisha gari ya hawara bila aibu unazurura nayo kila kona , unakuja nayo mpaka nyumbani, ulitaka nikuiteje kama siyo MARIOOO. ulitaka nikuite nani Mume wangu, kama unaweza kuhongwa gari na Kahaba bila aibu unakuja nayo mpaka Kwangu ulitaka nikuiteje ebu niambie??? Sikupata jina baya zaidi hakika ningekuita tuu kwa MAUMIVU uliyonipa..
.
Nashukuru sana umenifanya nijifunze kumpenda MUNGU zaidi kuliko binadamu. Binadam tunabadilika sana. Nilikwambia kwa machozi Mengi sana kwama UNAMPENDA MUOE unipe Talaka. Ukanikatalia hutoki nae japo Dunia inajua ni mchepuko wako. inaumaaaa.. Pata Picha ingekuwa ni Mimi nakuja Nyumbani na gari ya Mwanaume unaesikia natembea nae... Ungekuwa unajiskiaje Mume wangu.

Mume wangu wewe ni Kiongozi, Chagua mwanamke unaempenda umuoe utulie. Ni aibu kujiita KIONGOZI lakini huheshimu familia yako. UONGOZI ni DHAMANA kubwa, unatakiwa uongoze watu kwa mfano mzuri.mfano wa kwanza ni kwenye familia yako Siyo kwenye Taasis, ukatibu wa chama, udiwani, ubunge, Ni nyumbani kwako. Nasikitika Watu wengi wanaokuzunguka wengi hamthamini familia zenu kabisa.. INASIKITISHA!

Source : JKiria Page
Very very touching!!!!!!!!! This is a woman speaking from her inner heart.
We men are sometimes the beasts of the earth as we are often too egoistic to realize how valuable 'Family' is until we break it a apart.......What a pity.
 
Wanawake wananifurahisha hii dhana yao ya kwamba Mume wao anafundishwa tabia mbaya hawajui wao ndio huwa wanatubadilisha.
Nina Shemeji yangu ananichukia kwa kudhani kila mume wake akichelewa kurudi anakua na mimi viwanja so ninamfundisha uhuni wakati angejua ukweli alitakiwa anihurumie mimi kwa kuwa na rafiki bazazi
Hahahahahaaa....hii ipo sana
 
Ila hii Dunia huwezijua utakuja kuongelewa kwa namna gani!!!, Huyu Moza ambaye ndio mlalamikiwa(mchepuko) wa kilewo nim-follow insta muda, na muda mwingi anapost picha/mambo yanayo husu chama (CDM), leo hii anajadiliwa kivingine namshauri yeye na mwenzake wajaribu kufanya mambo kwa umakini, Maana kesho atafanya jambo zuri ila litaharibiwa na haya mambo ya kitoto. Wabariki suala lao liwe harali ili hii jamii kigeugeu isije baadae kuwageuka na kuwacheka.
 
enzi za ujana hizo mkuu " nilikuwa mwehu sana " nakumbuka nilikuwaga na demu ni cheche ile mbaya na mimi moto unawaka " so ilikuwa Kama twakomoana hivi kwa sababu sote tulielewana na hakuna aliyekuwa anataka kumuacha mwenzie "... basi bwana kuna siku alinivuruga nikaona sio kesi " ... tulipokuja kukutana kwa bed ili tufanye matusi kati kati ya mchezo sinika jifanya nimenogewa ... hahaaa " nikaanza kulitaja jina la rafiki yake "... daaah ili kuwa balaa
Hahahahah....

Unakomaa kulipiiza...

Ila mahusiano ya namna hiyo huwa lazima uyamisi mzee...

Yana uhuru na vibe...

Mi nikimkumbuka chick flan zama hizo, nammisi sana. Tulikuwa tunashindana kumwaga mboga na ugali ila hatuachani... Mtoto alikuwa mkaliii, ametulia ila ana matukio yake kadhaa, af mbishi...
Ye ndo amefanya niwe na roho ngumu.
 
ewaa hivyo hivyo ni hatari " ukiwa na manzi paka halafu akakusulubisha ina saidia sana " lazima ukibwagana nae uwe na moyo mgumu kama siso "... huwezi yumbishwa tena kijinga na mahusiano
 
Karma ya mume wa kwanza ina mtesa hafu kuishi na Joyce inabidi uwe na roho ya chuma hana siri hajui nafasi ya mke kwanini umzalilishe mume mtandaoni. Kileo mwenyewe handsome vile acha a jifunze akome mdomo na kupanda mumewe kichwani.
Huo ndiyo ukweli.
Kuna msemo wa kilugha unasema hivi (nauweka kwa kiswahili) "ukimwacha Mke/Mme wa kwanza, ipo siku utakuja kulia mtaani bila kumwona anaekupiga".

Usemi huu una sound vizuri uki-unukuu kwa ki-lugha, maana ni wa kiluga.
 
Ulipaswa kuwa mama mchungaji sema tu ulikosa bahati ya kuolewa na mimi mchungaji mkuu nisiyejaribiwa wala kupangiwa
Yaan bestie kuna mambo ukiyaona unajiuliza hivi imagharimu nini kujifanya mjinga?

Wanawake huwa tunakosea tena sana tuu. Lkn ukijishusha na kuamua kweli kubadilika ndoa yako haita vunjika miaka mia 8.

Hata kama.mume ni abusive kama.polisi wa staki Shari lkn ukiwa submissive from your inner heart lazima huyo mume atulie na abadilike taratibu taratibu. Ubabe ndio za kiume Sasa unapokutana na feminist ambao eameuvaa uanamme wa majukwaani af uwe ni from chagga lazima utaisoma namba ya kegete.

Bottom line Joyce anaipenda ndoa yake na hata kilewo kaka yangu ni hivyo hivyo. Na anachokifanya kilewo ni kudraw attention ya kiria Sasa kiria anatakiwa awe kama taa ukibonyezwa tu switch ww umeshawaka mita kadhaa mbele. Unawaangazia nuru kuondoa Giza ndani.
Siku zote Giza huondolewa kwa nuru na sio kiza kingine
 
Unavyomuana ana dalili ya kutubu? Yaani drama zote za ndoa yake anazitengeneza mwenyewe. Hana akili namuonea huruma
Tusiwe watu wa kuhukumu kiasi hiki. Mwache akishauriwa na kuelewa nani ajuaye huenda akabadilika na kutubu.
 
Aisee " alijifanya kuleta u-super woman mpaka ndani ya nyumba yake ... acha jeuri yake imtafune sasa
Joyce ni zero brain.
Mahusiano hayafungamani na upande wowote, mf. cheo au hali ya mtu aliyonayo.

Ndiyo maana hata uwe na cheo/kazi kubwa namna gani. Linapokuja swala la mahusiano ndani ya nyumba (Me/Ke) hakuna cha kazi wala cheo ulichonacho. Kama ni Mme timiza majukumu yote ya ndani ya nyumba kama Mme (kazi/cheo kiache hukohuko). Kadhalika na Mke nae atimize majukumu yake kama Mke na wala siyo kutumia hali/cheo/kazi uliyonayo kumwendesha Mme wako.
 
Back
Top Bottom