Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Yaan bestie kuna mambo ukiyaona unajiuliza hivi imagharimu nini kujifanya mjinga?

Wanawake huwa tunakosea tena sana tuu. Lkn ukijishusha na kuamua kweli kubadilika ndoa yako haita vunjika miaka mia 8.

Hata kama.mume ni abusive kama.polisi wa staki Shari lkn ukiwa submissive from your inner heart lazima huyo mume atulie na abadilike taratibu taratibu. Ubabe ndio za kiume Sasa unapokutana na feminist ambao eameuvaa uanamme wa majukwaani af uwe ni from chagga lazima utaisoma namba ya kegete.

Bottom line Joyce anaipenda ndoa yake na hata kilewo kaka yangu ni hivyo hivyo. Na anachokifanya kilewo ni kudraw attention ya kiria Sasa kiria anatakiwa awe kama taa ukibonyezwa tu switch ww umeshawaka mita kadhaa mbele. Unawaangazia nuru kuondoa Giza ndani.
Siku zote Giza huondolewa kwa nuru na sio kiza kingine
Shkamoo mwalimu
 
Kosa kubwa la kamanda Kilewo ni kuoa hii kipindupindu! Anyway,karibu CCM....
 
Mithani ipo wengi tunakumbana nayo. Joyce ni mfano mbaya kwa wasichana na wanawake ambao hawajapevuka vizuri kiakili.
Imagine anawaharibu wanawake wangapi kwa mtindo wake huo wa kuponda wanaume na ndoa kwa ujumla? Anatazamwa na watu wengi sana sasa mtu km hana akili akifata mambo yake lazima apotee.
Tatizo lake ni moja tu hashauriki maana sidhani kama amekosa washauri. Hajitambui yaani empty set kabisaaaa
Ili nalo ni neno dearest
 
Sijambo mwalimu. Ila nakudai ada mwalimu
Iv mwl ndo anadaiwa ama mwanafunzi? Kwanza nip hongera yangu. Mwenzio nimebarikiwemo kadada this time. Baada ya madume kuizunguka meza ipasavyo
 
Si anajiita superwoman lawama za Nini Sasa alee watoto jamaa ndio kashasepa. Hata ningekuwa Mimi ningemuacha tukigombana kidogo tuu kwenye mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom