Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Hii ni ile unaachana na mwanamke kwa ujinga wake..siku ya siku anakukuta na kifaa kipya tena kikiwa kimemzidi kwa kila kitu..hapo lazima apasuke!

Huyu dada alisahau kua mwanaume akomolewi sasa naona unalia et ana MAUMIVU
Mwanaume anakomolewa ila sio kwa mtindo huo
 
Wivu wa nini hata kama angeongwa magari mia!!!

Kumuacha amuache yeye.. kumchafua mitandaoni amchafue yeye kujionyesha gangwe.. now ana mwanamke anampa raha anamuita mario aiseee nicheke tu..[emoji3]

Hata kama pesa anaitamani basi..
Ajue kunyamazia mengine shaaaaa
Hapo sasa alikuwa anatikisa kiberiti kuona kama kimajaa apambane na hali yake
 
What goes around comes around ,joyce hata nelly alipitia magumu yako kipindi unamcheat na kamanda.

Mwanamke wa shoka acha kulia lia mbona kwa nelly uliifata kwa nguvu talaka mahakamani. Na huyu usimcheleweshe bana
1.Hii inaitwa kikulacho.
2.Malipo ni hapa hapa.
3.Huwezi kunywa sumu mwenyewe alafu utegemee afe mtu mwingine.

Na aisome namba, alifikiri yakwake ni spesho muno. Kenchy type kabisa.....
 
Wivu wa nini hata kama angeongwa magari mia!!!

Kumuacha amuache yeye.. kumchafua mitandaoni amchafue yeye kujionyesha gangwe.. now ana mwanamke anampa raha anamuita mario aiseee nicheke tu..[emoji3]

Hata kama pesa anaitamani basi..
Ajue kunyamazia mengine shaaaaa
Vipi hapa itikadi haihusiki?siamini unaweza kuwa neutral namna hii kwa Kamanda Kileo!!
 
hahaaa this time jamaa kamuweza " kumbe lina wivu bado linampenda mumewe period "... joyce atulie hivyo hivyo wanawake wanaojua kutumia fursa wa muonyeshe show " yeye sialikuwa ana muanika mume wake" sasa alitegemea nini kama sio kunya kuliwa na manyaku nyaku "...., dahh inaonyesha imemchoma kama pasi aisee
 
Ana matatizo halafu nadhani hataki kushauriwa. Analalamika mambo ya msingi lkn why dunia nzima ijue? Ili iweje?
Kama kweli anapinga ukatili wa kijinsia angetuonyesha mfano kumpeleka kileo mahakamani badala yake ana bwabwaja tuuu.
Usema kweli mdomo ndo umemponza
 
Mwanaume akikuchoka yaani hata ulie kilio cha namna gani ni kazi bure. Kinachonishangaza sio malalamiko yake lkn why kuanika kila kitu mtandaoni? Juzi Kileo kanunulia watoto viatu eti anatoa asante mtandaoni. Huyu dada hana akili..mara mia Giggy Money
hahaa
 
What goes around comes around ,joyce hata nelly alipitia magumu yako kipindi unamcheat na kamanda.

Mwanamke wa shoka acha kulia lia mbona kwa nelly uliifata kwa nguvu talaka mahakamani. Na huyu usimcheleweshe bana
Kwa Kilewo kashindwa asee.....na asipojirudi atapata kichaa soon!

Moza ni kisu balaa halafu ana mkwanja, na anamkubali jamaa kusalimia tu anapiga goti , mtoto heshima debe,sasa jamaa ataanzaje kurudi kwa Joy kimfano yaani?
 
Wivu wa nini hata kama angeongwa magari mia!!!

Kumuacha amuache yeye.. kumchafua mitandaoni amchafue yeye kujionyesha gangwe.. now ana mwanamke anampa raha anamuita mario aiseee nicheke tu..😀

Hata kama pesa anaitamani basi..
Ajue kunyamazia mengine shaaaaa
Nimelike comment yako kwa mara ya kwanza
 
Ila daah kamanda kageuka marioo aiseee mjini pesaaa

Back
Top Bottom