Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Kaumia sana...hii iko wazi!

Demu mwenyewe aliyemnyakulia ni kisu balaaa, na ana mshiko wa kufa mtu
 
Huyo mchepuko waitwa moza ni kamanda mwenzake na kileo ni mrembo huyo Moza na yuko vzuri
 
Hahahhh Joyce buana alianzisha muziki bila bendi sasa anashindwa kuucheza. Si alisema kuna mtu atampenda zaidi! Ampe gari naye akamdoboshee ex Kilewo Tit for Tat roho yake itapona
Karma ya mume wa kwanza ina mtesa hafu kuishi na Joyce inabidi uwe na roho ya chuma hana siri hajui nafasi ya mke kwanini umzalilishe mume mtandaoni. Kileo mwenyewe handsome vile acha a jifunze akome mdomo na kupanda mumewe kichwani.
 
daahh huyo sio mwanamke aisee " ... kwakweli jamaa ambwage tu .. hamna mtu mule
Demu kamuwehusha kinoma...kule insta kila sentensi moja " mume wangu" mara kidogo " mume wangu hivi na vile yaaan[emoji15] ....jamaa kajua kumkomesha
 
Kaumia sana...hii iko wazi!

Demu mwenyewe aliyemnyakulia ni kisu balaaa, na ana mshiko wa kufa mtu
Aisee ndio imeshakula kwake "..., serious alimuanika mumewe vibaya sana '.. mwanaume yeyote anaye jitambua hawezi kuvumilia ile tabia chafu aliyoionyesha .. ilikuwa ni sawa na kumvua nguo tu ... so this time acha tu avune alicho kipanda
 
Sana...Joy alimharibu mwenzake kisaikoloji
 
Demu kamuwehusha kinoma...kule insta kila sentensi moja " mume wangu" mara kidogo " mume wangu hivi na vile yaaan[emoji15] ....jamaa kajua kumkomesha
hahaaa nimefurahi sana aisee ..

what goes around comes back around
via
Justin Timberlake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…