Chriskisamo
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 166
- 38
Kimeo tu.yeye na Sipora wanaitaji shule. Watanzania tuamke tusiwape sifa za kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.huyu,kanumba,ray,ze komed wanaitaji shule.tusiwape sifa wasizostaili.
Nadhani haujui elimu ya Sporah ndo maana umeandika hayo uliyoyandika!Chipukizi said:Kimeo tu.yeye na Sipora
wanaitaji shule. Watanzania
tuamke tusiwape sifa za kupaka
mafuta kwa mgongo wa
chupa.huyu,kanumba,ray,ze komed
wanaitaji shule.tusiwape sifa wasizostaili.
Hio qoute zako zijakupata hapo? Mie maimuna
Hivi mtu ana akili zake atasimama vipi kwenye media asema elimu haina umuhimu katika maisha ya mwanadamu alafu awekwe kwenye kundi la ma role model??? hapa sio swala la kupendana au kuchukiana....ila hana vigezo vya kupewa sifa mlizo mpa.
kwanza interview zenyewe anazo host kwenye kipindi chake full kuwa comand wageni wake.., na kuwapangia cha kusema (yani kinachomfurahisha yeye)...kwa kweli AKAJIPANGE UPYA, AJE KIVINGINE AKIWA ANA ELIMU LAKIN KWA PALE ALIPO SIDHANI KAMA ANA MIAKA 2 MBELE KUENDELEA KUMAINTAIN STATUS .... Kama amekutuma umpe promo mwambe hujatukuta
Opinions are like ass-holes....
still elimu bado ni muhimu.
kwa maelezo yake tu nimeshaona kasoro Inayosababishwa na elimu
Hapo angekuwa na kampuni moja ikawa ina operate hiyo nyingine as subsidiary na kampuni kubwa as a parent company kuliko kuwa na kampuni mbili tofauti wa tz wanaona kuwa na kampuni nyingi ndio inshu wakati unaweza kuwa na kampuni moja ikawa ina operate kampuni mbali mbali aje kule jukwaa la biashara aanzishe thread tumsaidie
Darasa la saba sio mchezo
Hadi stage aliyofikia tunatakiwa tumpongeze ukilinganisha na elimu yake!! Ka ulishaangalia show zake hauwezi ukaamini ka ana hiyo elimu kwa jinsi anavyo host vizuri!? Kuna show nyingi za wengine tumeona zimefail pamoja ya huwa host wake wamesoma ka ile ya Mary Rose (ka sijakosea) ya Star tv kuna ile ya Sporah naona huwa ya kawaida sana..
Education without liberation is nothing......................unaweze kuwa umesoma lakini hujaelimika.....
pole sana wewe na elimu una mafanikio gani?
ila unajua kina bill gates, mark zuckerberg na steve jobs wamefika chuohio qoute zako zijakupata hapo? Mie maimuna
Namkubali Joyce Kiria nimemuona kwenye porogrammes za African Magic. Kuhusu kusoma asijali kwani hata kina Bill Gates,Winston Churchill, Steve Jobs hawakuwa na vyeti vya University. Cha muhimu ni upeo upeo ulionao na jinsi jamii inavyopokea mchango wako. Ila ukitaka kusoma bado una chance kwani waweza kujiandikisha QT ukapata "O" level credits then una sit private candidate exam ya Form VI. Therefter ukipata eligibility ya university waweza kuwa graduate by 2017. Na nakuhakikishia ukifika hapo utakuwa juu sana. Hata Tyra Banks amegraduate mwaka 2012 na degree ya Havard baada ya kufanya talk shows na modelling kwa miaka zaidi ya 15. Wake up Joyce and do it!! Kumbuka kuwa "What a woman has done, a woman can do"
ana makubwa gani kujishaua tu....makubwa yake ni kusema elimu haina umuhimu??
mimi cjaelewa "haters" wa kiria wanaongelea elimu gani,lakini nahisi kama ni ile ya kukariri,ambayo tunafundishwa kwa lugha ambayo sio yetu(ukikosea unachekwa),ambayo haitusaidii chochote zaidi ya kupata kazi na kuendelea kuwa mtumwa wa paycheck,lakini kwa maisha yetu na tulivyokuzwa,mwenzetu akiweza kuvuka kiwango,akawa na life nzuri pasipo utumwa wa paycheckhuyo inabidi tumsifu na hata tujifunze kuwa kama yeye.
pole sana wewe na elimu una mafanikio gani?
Kwa lugha nyingine hakuna haja ya kusoma?